Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Naona mall ya bukoba itakuwa nzuri kuliko ya arusha.
Kitombile za siku ndugu yangu
Nilikuona kwenye thread moja unachangia kuhusu miji ya kenya na tanzania nilipenda uelewa wako kuhusu miji ya kenya tanzania inabidi tufanye kazi sana mkuu kuna mji nlienda kenya unaitwa kericho nlishangaa kukuta flyovers na dual carriage ways kitu ambacho kwetu ni story kubwa sana
 
Hongera kwao bhana napenda nikiwa bukoba kula senene wale na ndizi....ila kwa arusha mkuu malls sasa sio story tena zinashindana sasa uwingi wa tenants na unajua kiuhalisia wabongo sisi sio watu wa kwenda sana kwenye supermarkets mfano mzuri ni Rock City mall pale mwanza sasa hivi zile floor za juu zote ni madarasa ya wanafunzi

Hizo ni baadhi ya malls zilizoko arusha..

NB. Lile jengo la PAPU la ghorofa 18 linalojengwa nalo litakua na sehemu za kuweka supermarkets View attachment 2530764View attachment 2530767View attachment 2530763View attachment 2530765View attachment 2530766View attachment 2530768
 
Makete round about mkoa wa njombe now ni fire Kila kona
thumb_693_800x420_0_0_auto.jpg
 
Kitombile za siku ndugu yangu
Nilikuona kwenye thread moja unachangia kuhusu miji ya kenya na tanzania nilipenda uelewa wako kuhusu miji ya kenya tanzania inabidi tufanye kazi sana mkuu kuna mji nlienda kenya unaitwa kericho nlishangaa kukuta flyovers na dual carriage ways kitu ambacho kwetu ni story kubwa sana
Ulipotea wapi? Na sasa Arusha yenu inakuja kupigwa hivi karibuni na Mwanza kwenye sector ua utalii😂😂😂
 
Hongera kwao bhana napenda nikiwa bukoba kula senene wale na ndizi....ila kwa arusha mkuu malls sasa sio story tena zinashindana sasa uwingi wa tenants na unajua kiuhalisia wabongo sisi sio watu wa kwenda sana kwenye supermarkets mfano mzuri ni Rock City mall pale mwanza sasa hivi zile floor za juu zote ni madarasa ya wanafunzi

Hizo ni baadhi ya malls zilizoko arusha..

NB. Lile jengo la PAPU la ghorofa 18 linalojengwa nalo litakua na sehemu za kuweka supermarkets View attachment 2530764View attachment 2530767View attachment 2530763View attachment 2530765View attachment 2530766View attachment 2530768
Mkuu unashindwa kutofautosha mall na supermarkets.
 
Ulipotea wapi? Na sasa Arusha yenu inakuja kupigwa hivi karibuni na Mwanza kwenye sector ua utalii
Mwendazake angekuwepo kweli mngetupita si utani ....

Hapa ni ngorongoro mkuu na zote hizi zimetoka chuga

Sisi tuendelee tu kushuhudia maajabu ya rockcity mall kuwa hostel
Screenshot_20230226-191320_Chrome.jpg
 
Mkuu unashindwa kutofautosha mall na supermarkets.
Mall ni sehemu yoyote tu yenye maduka mengi including supermarkets sio kitu special kihivo ndugu zangu tu waziwani hamjazoea kabisa haya mambo ndio ambayo mwanza iko moja tu na imegeuzwa kuwa madarasa

Na si ajabu uliona watalii wawili mwanza mkaanza kushangaa
 
Kitombile za siku ndugu yangu
Nilikuona kwenye thread moja unachangia kuhusu miji ya kenya na tanzania nilipenda uelewa wako kuhusu miji ya kenya tanzania inabidi tufanye kazi sana mkuu kuna mji nlienda kenya unaitwa kericho nlishangaa kukuta flyovers na dual carriage ways kitu ambacho kwetu ni story kubwa sana
Huku Tanzania ukitaka kuona flyovers na interchanges unatakiwa upande gari au ndege uende Dar, hii nchi ni ya ovyo sana, kila kitu kinapelekwa Dar, miji mikubwa kama Mwanza na Arusha vitu kama flyover ni hanasa
 
Mwanza tunabaniwa International airport, ila hakuna nouma ngoja tuwafukuze mdogo mdogo.
Hambaniwi chochote mkuu kila mtu apambane na alichonacho mbona arusha hatuna hata airport tunatumia ya kilimanjaro na mambo yanaenda tu, hatuna samaki kama nyie na hatulalamiki hatuna stendi nyie mna mbili lakini baridi tu.....
 
Mwendazake angekuwepo kweli mngetupita si utani ....

Hapa ni ngorongoro mkuu na zote hizi zimetoka chuga

Sisi tuendelee tu kushuhudia maajabu ya rockcity mall kuwa hostelView attachment 2530829
Rock city mall sasa inahuwekezaji si wakitoto karibu ushuhudie hongezeko la uwekezaji ndani ya rock city.
 
Hambaniwi chochote mkuu kila mtu apambane na alichonacho mbona arusha hatuna hata airport tunatumia ya kilimanjaro na mambo yanaenda tu, hatuna samaki kama nyie na hatulalamiki hatuna stendi nyie mna mbili lakini baridi tu.....
Umeanza wivu wako kama lile jinga lenzako linajiita sunk😂😂😂😂
 
Umeanza wivu wako kama lile jinga lenzako linajiita sunk
Hapa ni sehemu ya kujifurahisha mkuu ni kama simba na yanga tu ila tunapendana sana....watu wote wa arusha wanapajua mwanza ni pazuri na wa mwanza hivo hivo ila lazima tukosoane hii miji yetu bado sana...
Natamani tupate dual carriage way kutoka usagara hadi mjini ...kutoka mjini hadi kisesa....natamani barabara ya kishiri iwe lami
 
Ata mimi nakubali sana watu wa Arusha na Mwanza, ni watu wanaopenda sana kwao tofauti na watu wa mikoa mingine wanaopaona Dar ni kama New york yao.
 
Hongera kwao bhana napenda nikiwa bukoba kula senene wale na ndizi....ila kwa arusha mkuu malls sasa sio story tena zinashindana sasa uwingi wa tenants na unajua kiuhalisia wabongo sisi sio watu wa kwenda sana kwenye supermarkets mfano mzuri ni Rock City mall pale mwanza sasa hivi zile floor za juu zote ni madarasa ya wanafunzi

Hizo ni baadhi ya malls zilizoko arusha..

NB. Lile jengo la PAPU la ghorofa 18 linalojengwa nalo litakua na sehemu za kuweka supermarkets View attachment 2530764View attachment 2530767View attachment 2530763View attachment 2530765View attachment 2530766View attachment 2530768
Hizo ni mall au supermarkets?
Naongelea Malls kama Mlimani, Quality centre, palm village, City mall nk..
Hizo zinakuwa na maduka na supermarkets mbali mbali...

Kama hii bakwata complex ya Bukoba...imagine ndo wako msingi tu lakin kuna maombi zaidi ya 600..na asilimia kubwa ni waganda na wale diaspora wa bukoba....Bukoba itakuja kubadilika tu kwa sababu uhitaji ni mkubwa sana hasa wa fremu...Tazama hapa...

Acha ushamba wewe unataka ulinganishe bukoba na arusha....kwahio hio mall inajegwa hapo ulinganishe na palm village
 
Back
Top Bottom