ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,222
- 85,106
- Thread starter
- #12,641
Hii hapa 👇Tuoneshe international flights za huko kusini
🤪🤪😁😁😁😜😜
Hii hapa 👇Tuoneshe international flights za huko kusini
Wewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.Best kuliko kusini nzima na kati ya Tanzania....
Imagine Bukoba Airport inazidi Dodoma Airport kwa abiria
Kumbe ndo bado mnajengaWewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.
Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
Kumbe ndo bado mnajengaWewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.
Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
Hapo vip Iko wapMtaweza kweli? Kajipangeni upya kwenye sekta ya mabasi VIP ndio mje kushindana na sieView attachment 2530266View attachment 2530267View attachment 2530268View attachment 2530269View attachment 2530270View attachment 2530272View attachment 2530273View attachment 2530274


Bukoba hayo yalifanywa 2012 huko!! Waliona uhitaji mapema kwa mji wa bukoba...Wewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.
Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
Ndio mkapata hicho kituko?Bukoba hayo yalifanywa 2012 huko!! Waliona uhitaji mapema kwa mji wa bukoba...
Kwanza hio Airport itahamishwa tu
Anyway niko mbozi huku....bado sana huku kusini mabasi ya mikoani yanajaza abiria kama daladala hadi watu wanasimama...bado zile motel za mabus ni za ovyo kweli...
Kila siku viyutong vile vileMtaweza kweli? Kajipangeni upya kwenye sekta ya mabasi VIP ndio mje kushindana na sieView attachment 2530266View attachment 2530267View attachment 2530268View attachment 2530269View attachment 2530270View attachment 2530272View attachment 2530273View attachment 2530274



Hio songwe si ndo mnagombania huko iwe songwe au mbeya. International airport domestic routes ni moja no international flights ata za mizigoWewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.
Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.



Acha uzushi ,tuna atcl na precesion air,Hio songwe si ndo mnagombania huko iwe songwe au mbeya. International airport domestic routes ni moja no international flights ata za mizigo
Huko si ndo airport wamegeuza mashamba ya viazi
Ukitoa KIA na JNIA ni airport gan tz ina Airport Terminal nzr kama hii ya bukoba...Bukoba hayo yalifanywa 2012 huko!! Waliona uhitaji mapema kwa mji wa bukoba...
Kwanza hio Airport itahamishwa tu
Anyway niko mbozi huku....bado sana huku kusini mabasi ya mikoani yanajaza abiria kama daladala hadi watu wanasimama...bado zile motel za mabus ni za ovyo kweli...
UfafanunuziAcha uzushi ,tuna atcl na precesion air,
Uwanja uko Mbeya ila una jina la Mkoa wa Songwe ndio linapigiwa kelele libadilishwe.


Bakwata complex mall bukoba...ujenzi uko kasi sanaNdio mkapata hicho kituko?
Aya mbeya mnazidiwa🥸na Bukoba wanajenga mall nyie mko mnashangaa shangaa tuBakwata complex mall bukoba...ujenzi uko kasi sanaView attachment 2530341View attachment 2530342View attachment 2530343View attachment 2530344View attachment 2530345View attachment 2530346

Naona mall ya bukoba itakuwa nzuri kuliko ya arusha.Aya mbeya mnazidiwa🥸na Bukoba wanajenga mall nyie mko mnashangaa shangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halina ubishi hiloNaona mall ya bukoba itakuwa nzuri kuliko ya arusha.