Sugunyo ya 1.2km
Sugunyo ya 1.2km
Acha kuwa backwards,,,ni km 10 Toka city center Hadi airport.sawa na kutoka town ya Arusha Hadi kisongoSugunyo ya 1.2km
"Makongoro Road has a length of 1.24 kilometres. But it is splittet in seperate ways: 1 2 3 .Acha kuwa backwards,,,ni km 10 Toka city center Hadi airport.sawa na kutoka town ya Arusha Hadi kisongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nabishana na Muha ...si nitakesha hapa"Makongoro Road has a length of 1.24 kilometres. But it is splittet in seperate ways: 1 2 3 .
highway: primary"








Nyie endeleeni kujengewa barabara kama sumbawanga..
Hio kali
Ila mshukurun magu kwa hio barabara washenz nyie
Imefanya mji wenu angalau
Ndo mjitahid sasa kuanzia usagara had town muweke double road sasa ikipendeza na upande ule wa kuelekea nyamhongolo
Tayar sisi tushaanza tengeru to usa na soon inakuja town to kisongo
Yan mnachowish sis tunacho kitambo alaf hata haturingiNyie endeleeni kujengewa barabara kama sumbawanga..
Proposed dual carriage from nata to nyangugeView attachment 2532665
Sent using Jamii Forums mobile app


Amka utajikojolea wewe..Nyie endeleeni kujengewa barabara kama sumbawanga..
Proposed dual carriage from nata to nyangugeView attachment 2532665
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uchafu wa Philips pale ndo unaita dual carriageYan mnachowish sis tunacho kitambo alaf hata haturingi![]()


Mbeya inaenda kupata wao Bado Wana wish 🤣🤣Yan mnachowish sis tunacho kitambo alaf hata haturingi![]()
Ulimbukeni ni mzigoAmka utajikojolea wewe..
Usifananishe Barabara za Sumbawanga na upuuzi wa Hicho Kijiji Cha wavuvi Cha Mwanza huwezi Kuta dual carriage road Kali kama hii na View attachment 2532714View attachment 2532715View attachment 2532716View attachment 2532717kama unabisha leta
Dual carriage ya mchongo Kali kwa Mwanza hata Taa hakuna 🤪🤪🤪🤪Mbona kumepauka hvyo ..... tulitegemea Hilo jengo lingetengeneza skyline safi hapo arusha lakin wapi ... underground hapo ni uswazi wa kufa mtu ..
Si bora hapahata barabara inaonekana smart View attachment 2532598
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya wanajengewa na flyover kabisa pale mafiat hawa watu wa mwanza ndio watapata presha vile hawatakagi kuona mji mwingine ukiendeleaMbeya inaenda kupata wao Bado Wana wish![]()


Leta Barabara ya Mwanza 😜😜😂😂
Ukiona hyo flyover nipo kahama .niite mbwaMbeya wanajengewa na flyover kabisa pale mafiat hawa watu wa mwanza ndio watapata presha vile hawatakagi kuona mji mwingine ukiendelea![]()
Hii inazidiwa na ya singaporeAmka utajikojolea wewe..
Usifananishe Barabara za Sumbawanga na upuuzi wa Hicho Kijiji Cha wavuvi Cha Mwanza huwezi Kuta dual carriage road Kali kama hii na View attachment 2532714View attachment 2532715View attachment 2532716View attachment 2532717kama unabisha leta
Hapa Bado tactic
Ya Singida sawa tuu ya kile Cha Mwanza 😅😅Hii inazidiwa na ya singapore
Nimeangalia finishing hiyo ya sumbawanga haina kingo stahiki za kuzuia lami isimomonyoke,, aliejenga lami singapore, kiwango chake ni cha kimataifa,Ya Singida sawa tuu ya kile Cha Mwanza 😅😅