instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,586
- 19,680
Naomba utumie akili kujibu comment yangu...usipayuke payuke mkuuAcha ushamba wewe unataka ulinganishe bukoba na arusha....kwahio hio mall inajegwa hapo ulinganishe na palm village[emoji1787]
Naomba utumie akili kujibu comment yangu...usipayuke payuke mkuuAcha ushamba wewe unataka ulinganishe bukoba na arusha....kwahio hio mall inajegwa hapo ulinganishe na palm village[emoji1787]
Wewe ndio unayepayuka boss....palm village ni mall amaNaomba utumie akili kujibu comment yangu...usipayuke payuke mkuu
Sasa hapa si ulaya hii ni arushaAcha ushamba wewe unataka ulinganishe bukoba na arusha....kwahio hio mall inajegwa hapo ulinganishe na palm village[emoji1787]
Ndo maana nimeamua nikumute...Wewe ndio unayepayuka boss....palm village ni mall ama
Sasa wewe kweli mshamba[emoji3][emoji3]Ndo maana nimeamua nikumute...
Palm village ni nini?View attachment 2531009View attachment 2531010View attachment 2531012
Am out...siwezi bishana na mtu anayepayuka payuka bila facts...mtu anayetumia matusi na kejeli kwenye kutoa hoja....Sasa wewe kweli mshamba[emoji3][emoji3]
Ndo maana umetoka kwenye vita ya bukoba unaleta picha za dar ndo ujue arusha ni kidume hatulinganishwi na chura yoyote nchi hii nje ya dar....
Sasa wacha nikufundishe palm village ni investment ambayo ndani yake ina real estate, hotel pamoja na mall....
Hilo jengo hapo chini hiyo ni palm village mall ambayo inachukua hiyo front face peke yake na si eti palm village yote ni mall [emoji1][emoji1]
Inatucost ndio maana arusha ni ya pili kwa makusanyo nchi nzima.....Am out...siwezi bishana na mtu anayepayuka payuka bila facts...mtu anayetumia matusi na kejeli kwenye kutoa hoja....
Hii ndo too much ego ambayo watu wa huko Kaskazini mnayo..na inawakosti kweli kweli
Acha wehu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yeye anaongelea mall sio hizo apartment. Pia huu uzi ni wa Kahama vs njombe acha mihemkoSasa wewe kweli mshamba[emoji3][emoji3]
Ndo maana umetoka kwenye vita ya bukoba unaleta picha za dar ndo ujue arusha ni kidume hatulinganishwi na chura yoyote nchi hii nje ya dar....
Sasa wacha nikufundishe palm village ni investment ambayo ndani yake ina real estate, hotel pamoja na mall....
Hilo jengo hapo chini hiyo ni palm village mall ambayo inachukua hiyo front face peke yake na si eti palm village yote ni mall [emoji1][emoji1]
Shinyanga amewakalisha.Level zenu ni GEITA [emoji41]Inatucost ndio maana arusha ni ya pili kwa makusanyo nchi nzima.....
Changanya kanda ya ziwa yote haifikii moto wa arushaView attachment 2531036
Gold reserve nyanzaga.. Mwanza inafukuza mwizi kimya kimya,,,Dar ijipange maana GDP inayokuja sio mchezoZiwa sio choo leteni takwimu zenu [emoji16][emoji16]
Iringa maji ni 97%
Lake Victoria views [emoji91][emoji91][emoji7]Ziwa sio choo leteni takwimu zenu [emoji16][emoji16]
Iringa maji ni 97%
Leta takwimu za maji hapo mwaloni kwenu tuoneLake Victoria views [emoji91][emoji91][emoji7]View attachment 2531621
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza inazalisha Lita milioni 90 na wana upgrade to Lita milion 160 ......nyie mbeya mna maji Lita ngapiLeta takwimu za maji hapo mwaloni kwenu tuone
Mzee unazingua hako kamradi kenu hakawezi fikia mradi wa bil.120 wa Kiwara-MbeyaMwanza inazalisha Lita milioni 90 na wana upgrade to Lita milion 160 ......nyie mbeya mna maji Lita ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app