Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkoa wa njombe umesha kuwa connected na lami wilaya zake zote hii ndo maana halisi ya mkoa kufunguka zaidi na kuwa organised
FoXuisnWAAI3VMU.jpg
maxresdefault(2).jpg
3-30.jpg
AE2B101A-502F-4FCF-9CAF-BF2B89B5D4C9.jpeg
13-8.jpg
FB_IMG_16735840067750780.jpg
3-0~2.jpg
 
Barabara za lami Hadi Vijijini via Agri Connect km 21.

Nyanda za Juu Kuna mambo ni

 
Mkuu mimi sipo kishabiki bali nitakupa ukweli,kwanza umekosea kulinganisha mkoa na wilaya,Njombe ni mkoa ina wilaya 4 na Halmashauri 6 ambapo mafinga na kahama zote ni wilaya.kwa kuangalia fursa za kibiashara katik hayo maeneo uliyotaja Njombe wilaya na hata Mkoa ipo mbali sana kuzidi hizo wilaya ulizozitaja.
Lakini kwa point yako sehemu ya wewe kuanzia fursa nitakushauri uende kahama kwa sababu zifuatazo
1.Ni vigumu sana kufanya biashara ya aina yoyote Njombe/mafinga kama sio mzawa au mshirikina
2.Njombe hamna mchanganiko wa watu wa mikoa mingine,tofauti na wafanyakazi wa serikalini,so bado wana mambo ya kizamani ya undugu na ukwetu.
So it is better uende kahama
Mkuu kweli unapajua vizuri sana njombe
 
Kama haujui mkoa wa njombe Bora ukae kimya swala uwekezaji watu tu wanaotoka mkoa wa njombe wanguvu kubwa ya uwekezaji na bado Kuna kampuni nyingi za kigeni zimengia kuwekeza njombe bila shida yoyote na biashara zinakwenda vizuri Sana na makampuni Yanazidi kuja tu ni mkoa ambao umebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi na unamiundo mbinu mizuri ya usafirishaji na ni miongoni mwa mikoa michache inayo kuwa kwa Kasi hapa Tanzania kulingana na uboreshaji wa miundombinu na position ulipo na hayo ni baadhi tu ya makampuni ya kigeni yaliyowekeza mkoa wa njombe
Mkuu kweli unapajua vizuri sana njombe
Balozi Anisa 2.jpg
WhatsApp Image 2022-08-25 at 9.34.38 AM (1).jpeg
IMG_4060-768x512.jpg
FB_IMG_16708237359814858.jpg
FB_IMG_16755766379959198.jpg
 
W

Wakati Kahama wamejenga kwa mapato ya ndani jengo la zaidi ya B 2.6 bila msaada wa TAMISEMI. Halafu hata hawalingi sasa
View attachment 2518719
Sasa wewe una matatizo yaani hako Ka hospital kabaya ka 2.6 ndio kanakushushua?

Tunajenga madarasa ya magorofa ya zaidi ya bil.2
Soko la Dagaa Kwa 1.5 Bil.
Maegesho na parking.lots za bil.1.6
Machinga complex ya 2.3bln
Stand bil.1.6

Hayo mabilioni yote ni Mapato ya ndani..

Mwisho kwenye Barabara za Tarura Sasa Bajeti yetu imetoka 1b Hadi 4bln ,tuletee Bajeti ya Kahama kwenye Barabara
 
Baadhi ya miradi ya afya na elimu inayotekelezwa eneo hili ambalo zamani ilikuwa wilaya moja ya njombe na ndo eneo ambalo linakusanya mapato zaidi ya billion 20 nje ya wilaya za makete na ludewa
A-map-showing-the-study-districts-and-their-respective-wards-in-Njombe-region-Tanzania~3.jpg
postQueueImg_7-62f3c68d525dd.jpg
DJI_0012.JPG
IMG-20220809-WA0039(0).jpg
FB_IMG_16765250791957671.jpg
FB_IMG_16765235967123803.jpg
FB_IMG_16765234169034913.jpg
FB_IMG_16765234093780990.jpg
FB_IMG_16765233945547874.jpg
FB_IMG_16765233855316919.jpg
FB_IMG_16765228330286525.jpg
FB_IMG_16765227036328521.jpg
FB_IMG_16706111910940664.jpg
 
hapa Sasa roho yangu imetulia nasubiria kuona Sasa.
Fly over Jijini Mbeya

 
Back
Top Bottom