Angalia kidogo wageni wanaoingia na kutoka kahama, angalia pia viwanda baadhi pale kahama labda tungesema chai itawaboost lakini kuliko chao afadhali uuze pweza ambazo utachukua kilwa na kwenda kuuza newala au uchukue pweza nangulikuru ukauze hata nachingwea utapata pesa maana chai ina settlers tu.