Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,169
- 6,182
Tuletee na report ya udumavu kwa watoto [emoji13][emoji13][emoji13]Line za simuView attachment 2516466
Tuletee na report ya udumavu kwa watoto [emoji13][emoji13][emoji13]Line za simuView attachment 2516466
Nimekaa paleWait nitakuletea picha vizuri
Mnajitahidi sana kumuiga Sauli [emoji13][emoji13]Kanda ya ziwa hamna barabara [emoji16][emoji16][emoji116]View attachment 2517545View attachment 2517547
Haina jipya,kilichoandikwa kinajulikana Toka miaka na miakaTuletee na report ya udumavu kwa watoto [emoji13][emoji13][emoji13]
Zinakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia hivyo hivyo kuna km 54 dual carriage zinakuja soon.
Halafu sisi jiji letu sio level ya kuongelea barabara za TACTIC mtandaoni ambazo kila mwaka zinajengwa. Hizo huwa hatutumii nguvu zipo tu automatically, na mwaka huu zipo za kutosha tu
Siku hizi hana jipya huyuMnajitahidi sana kumuiga Sauli [emoji13][emoji13]
Lakini wapi View attachment 2517743
View attachment 2517746
Hatuna ulimbukeni kama wako kila kitu unapost. Server ya JF umeijaza picha za mabasi utafikiri mabasi yapo Mbeya pekeeZinakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barabara gani hizo mnazojenga Kila mwaka? Mbona hatuziona na mnategemea tactic?
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] wivuHatuna ulimbukeni kama wako kila kitu unapost. Server ya JF umeijaza picha za mabasi utafikiri mabasi yapo Mbeya pekee
Tactic km 23 Jumlisha other Sources km 8.5 ,hizi km 31 zitabadili sura yote ya Jiji ukiacha zilizopo Sasa na za Tanzam.Ila Mbeya mlichelewa poleni sana. Mpaka sasa barabara za mtaa ni vumbi tu