Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

hapa Sasa roho yangu imetulia nasubiria kuona Sasa.
Fly over Jijini Mbeya

Daraja la watembea kwa miguu ndio anaita flyover
Screenshot_20230216-100002_Twitter.jpg
 
Wale Jamaa wa kule waje kunisha hapa

Haahaaa ngoja nicheke kwanza. Sasa Mbeya itakuwa mkoa wa pili kwa dhahabu baada ya mkoa gani? Atawapita hawa ma giant kwenye migodi ya dhahabu?
1. Norh Mara (Mara)
2. GGM (Geita)
3. Buzwagi na Bulyanhulu (Shinyanga)
4. Nyanzaga (coming soon) Mwanza, ndiyo utakuwa mgodi mkubwa zaidi

Hapo nimetaji migodi mikubwa zaidi ambayo inatambulika kimataifa, bado migodi ya kati ambayo ipo mingi kwa idadi.

RC kachukua reference ya mkoa gani utakaokuwa namba moja halafu Mbeya ndiyo ifate?
 
Iwapite mara ngapi? Mara kadhaa Biteko amesema Chunya eipita Hadi Kahama ni next Kwa Geita hakuna Cha giants.

Imetoka hiyo mshapitwa hata ujichekeshe mwaka mzima hutobadiki takwimu
 
Awapite mara ngapi? Mara kadhaa Biteko amesema Chunya eipita Hadi Kahama ni next Kwa Geita hakuna Cha giants.

Imetoka hiyo mshapitwa hata ujichekeshe mwaka mzima hutobadiki takwimu
Tunaongea kwa fact sio porojo leta data hapa zinazothibisha msemo wako, Biteko alisema wapi? Lini?
Data zangu hizi hapa pinga kwa data
Screenshot_20230216-114228_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230216-114228_Chrome.jpg
    Screenshot_20230216-114228_Chrome.jpg
    75.2 KB · Views: 9
Halafu Mbeya mnaongelea mgodi gani? Ni huu wa Shanta ambao upo Mkwajuni wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe? Au kuna mwingine?
 
Halafu Mbeya mnaongelea mgodi gani? Ni huu wa Shanta ambao upo Mkwajuni wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe? Au kuna mwingine?
Mbeya inaongoza Kwa wachimbaji wadogo walioko Chunya,achana na Shanta hiyo ya Songwe.

Kumbe unaongelea wachimbaji wadogo. Ndio ufure hivyo? Nilijua unaongelea mgodi bwana mdogo. Sasa wachimbaji wadogo ndio waje wazidi wachimbaji wakubwa wenye wenye Machine na nyenzo za kisasa. Hiyo ndoto inatisha amka
Huyo ni mweu
 
Mwonekano wa jiji la mbeya baada ya kupata dual carriage na flyover
View attachment 2519164
Tete ndio unavyojifariji au siyo? Ukiacha kwamba hatufanani huo uswazi ila hata Barabara yetu itakuwa nzuri.

Nilikwambia itakuwa kama Sam Nujoma Road Katikati itaacha mita 9 Kwa Ajili ya BRT nk.

Na flyover itakuwa kama hii ya Dodoma ukitoa ngazi ya pili baada ya ground floor maana ni simple flyover
View attachment 2519717

Walishindwa hiyo ambayo ndio nzuri basi wachukue hii hapa
View attachment 2519720View attachment 2519719
 
Back
Top Bottom