Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Chunya h

Chunya huwa mnazalisha dhahabu gani???? (small mining scale) humo hamkosi
Sasa unabishana na Serikali au? Kama.Chunya hakuna dhahabu Kwa nini kuwe na soko kubwa la Madini baada ya Geita?

Kama hakuna dhahabu Kwa nini Serikali ijenge Kituo Cha Jiolojia na Utafiti wa Madini GST?

Hao hao small scale miners ndio wanafanya Chunya inapaa na mapato yanabakia ndani,nyie mnalingia wazungu wanaowaachia mashimo huku Madini wanasomba tuu in Jiwe's voice
 
Kwa hiyo hata RC aliposema Mbeya inataka kuwa namba 2 kwa uchimbaji ni kupitia hao wachimbaji wadogo?
Sio inatakiwa ndivyo ilivyo,Kuna wachimbaji wadogo na WA kati,wachina wapo hapo,achana na Mgodi ule wa Mkoa wa Songwe..

Lakini kingine hata kama Wilaya ya Songwe Kuna baadhi ya migodi na wachimbaji wadogo ila Madini wanakuja kuuza Chunya ndio maana wao kimapato wako chini sana.
 
Kumbe unaongelea wachimbaji wadogo. Ndio ufure hivyo? Nilijua unaongelea mgodi bwana mdogo. Sasa wachimbaji wadogo ndio waje wazidi wachimbaji wakubwa wenye wenye Machine na nyenzo za kisasa. Hiyo ndoto inatisha amka
Wachimbaji wadogo na WA kati,huku hatuhitaji migodi ya Wazungu wanasomba Madini na kuwaachia mashimo harafu mnachekelea tuu

Wachimbaji wadogo na WA kati,huku hatuhitaji migodi ya Wazungu wanasomba Madini na kuwaachia mashimo harafu mnachekelea tuu
Kanda ya ziwa kuna wachimbaji wadogo na wa kati wengi tu kuzidi hata huko chunya. Unadhani hiyo 12% ya wachimbaji wadogo ni Chunya pekee?
 
Kanda ya ziwa kuna wachimbaji wadogo na wa kati wengi tu kuzidi hata huko chunya. Unadhani hiyo 12% ya wachimbaji wadogo ni Chunya pekee?
Wewe mchango wao ni 40% ya mapato ya Madini Tanzania.

Nani kasema ni Chunya peke yake? Huku Chunya ndio Wamepata maeneo mazuri yenye madini sio huko Kwa wazungu wanakosafisha makinikia.
 
Wewe mchango wao ni 40% ya mapato ya Madini Tanzania.

Nani kasema ni Chunya peke yake? Huku Chunya ndio Wamepata maeneo mazuri yenye madini sio huko Kwa wazungu wanakosafisha makinikia.
Mimi nimeongelea sekta ya madini ya dhahabu kwa ujumla kwa kila mgodi na mchango wake. Kwa wachimaji wadogo ndio wanashare ya 12% ya dhahabu yote inayochimbwa nchini.
Ndio nikauliza huo mchango wa 12% wa wachimaji wadogo kwenye dhahabu kwa ujumla wake wanatokea chunya pekee?
 
Hii ni Barabara Mpya au ni Rehabilitation? Mbona nimekuwa naisikia kitambo sana?

Wadau wapo hapa.Kwa Njombe shule kama hii haipo.
 
Attachments

  • Screenshot_20230216-194139.png
    Screenshot_20230216-194139.png
    230.8 KB · Views: 7
mliokuwa mnachekelea barabara,,kusinj,..tuliwaambia vicheko vyenu havina muda ....hamna kitu hakitaletwa Kanda ya ziwa ni suala la muda tu ...wale dual carriage hapo viazi town jiandaeni mwezi march Kuna kizito kinakuja Toka mwanza .

Kagera inazidi kuwa on
20230216_223832.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mliokuwa mnachekelea barabara,,kusinj,..tuliwaambia vicheko vyenu havina muda ....hamna kitu hakitaletwa Kanda ya ziwa ni suala la muda tu ...wale dual carriage hapo viazi town jiandaeni mwezi march Kuna kizito kinakuja Toka mwanza .

Kagera inazidi kuwa on View attachment 2519750

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeweka Hilo tangazo na kuuliza swali hapo Juu hujajibu unakimbilia kuleta umbea..

Swali hii Barabara inakarabatiwa upya(rehabilitation) au inajengwa upya( upgrading to bitumen) maana miaka Mingi naisikia tuu.

Kama huna jibu nitasikiliza mwenyewe nitajua.

Mwisho hako kamradi komoja mnafutwa machozi,mwezi March Waziri anarudi tena Mbeya na Songwe kuweka Jiwe la Msingi la Barabara.
 
Mimi nimeongelea sekta ya madini ya dhahabu kwa ujumla kwa kila mgodi na mchango wake. Kwa wachimaji wadogo ndio wanashare ya 12% ya dhahabu yote inayochimbwa nchini.
Ndio nikauliza huo mchango wa 12% wa wachimaji wadogo kwenye dhahabu kwa ujumla wake wanatokea chunya pekee?
Ukipata hii huko Lake zone unitag

View attachment 2520031
mbeya_zonal_referral_hospital_1676609138912939.jpg
 
Barabara zimepinda pinda kama nyoka!!! Sio sifa ni umasikini huo, ilitakiwa viwekwe vitu kama hivi.....

Hizo landforms hata wachina wanazo, hakuna kipya
worlds-highest-beipanjiang-bridge-opens-china-dezeen-hero-852x479.jpg

mb4.jpg

1_jF8bfde3TYkDGv7auTSuSQ_0.jpeg

7ead89da-78a0-11e6-aba3-c12eb464ff87_1280x720.jpg
Ndio uzuri wenyewe huo uliowasukuma zoom Afrika kuripoti.

Pili mlima kawetere uko tofauti na huu ule ni continuous hauna vichugui chuguu kama huu
 
Back
Top Bottom