Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

More of Swax
country-hotel.jpg
 
Line za simu
20230208_214746.jpg
 

Attachments

  • thechanzo_1675882416720715.jpg
    thechanzo_1675882416720715.jpg
    112.1 KB · Views: 10
Tumeshafunga mjadala wa Barabara na Kanda ya Ziwa,hapo tumewapiga 4=0 hatuna wa kushindana nae labda Arusha Sasa.

Mtakuwa mnaletewa updates za progress ya ujenzi tuu

 
Mjadala wa Barabara Lake zone watupishe Kwa Sasa hatuna mpinzani..

Ukiacha hiyo lot 4 iliyotiwa saini Leo km 32 Kuna Tactic km 23,Kuna Za vyanzo vingine(Tamisemi,own Source,Wizara ya ujenzi) km 8.5 zote ndani ya Jiji la Mbeya.
Tulia hivyo hivyo kuna km 54 dual carriage zinakuja soon.
Halafu sisi jiji letu sio level ya kuongelea barabara za TACTIC mtandaoni ambazo kila mwaka zinajengwa. Hizo huwa hatutumii nguvu zipo tu automatically, na mwaka huu zipo za kutosha tu
 
Back
Top Bottom