Kahama VS Njombe/Mafinga

Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..

Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
Mabilion yanazidi kumwagwa huku
Screenshot_20230114-114336.jpg
 
Acha kupayuka yaan sgr ulinganishe na barabara kiuchumi.
Ushamba ni mzigo sana aisee,Kwa hiyo kilichowafanya hamjaendelea Miaka yote ni Kwa vile reli yenu Haina sio Sgr au? Wewe ni mjinga kama huyo MNEC..

Reli ingekuwa inaleta maendelea,Mbeya,Kigoma nk tungekuwa tunaongoza Kwa GDP.
 
We jamaa ni primitive Sana ..reli ndio njia rahisi ya kufungua uchumi ,kuliko hizo barabara..china sio wapumbavu kujenga high speed rail way gauge ,,,Kwan pesa za barabara hawana
MNEC 🤣🤣🤣🤣,Mwanza,Kigoma,Tabora,Mpanda,Mbeya nk kote Kuna reli ,vipi uchumi haukugunguka kisa sio Sgr? 😁😁😁😁
 
MNEC ,Mwanza,Kigoma,Tabora,Mpanda,Mbeya nk kote Kuna reli ,vipi uchumi haukugunguka kisa sio Sgr?
Hizo reli za wakoloni ambazo Most ziko dormant.......
Hata hvyo uwepo wa reli kigoma umesaidia kufunguka Kwa bandari ya kigoma ,na kalemi,.
Uwepo wa reli umepafanya shinyanga isaka kuwa ICD bandari kavu ya mizigo kwenda rwanda na Burundi .
Uwepo wa reli umepafanya mwanza kuwa na bandari ya kupeleka mizigo Uganda ...
The same applies Kwa miji ya makambako ,itigi,tabora ,nk ambayo imekua Kwa sababu ya reli
 
Hizo reli za wakoloni ambazo Most ziko dormant.......
Hata hvyo uwepo wa reli kigoma umesaidia kufunguka Kwa bandari ya kigoma ,na kalemi,.
Uwepo wa reli umepafanya shinyanga isaka kuwa ICD bandari kavu ya mizigo kwenda rwanda na Burundi .
Uwepo wa reli umepafanya mwanza kuwa na bandari ya kupeleka mizigo Uganda ...
The same applies Kwa miji ya makambako ,itigi,tabora ,nk ambayo imekua Kwa sababu ya reli
Wewe ni mzigo mkubwa sana kwenye Nchi na familia..

Reli hujengwa kuja kusaidia miundombinu mingine ikizidiwa na pia kama Kuna enterprise kubwa ya kiuchumi kama migodi na mashamba makubwa na ndicho wakoloni walifanya na ikawasaidia.

Sasa hiyo Sgr yenu inakuja kubeba nini? Sangara na hao wanaoingia na mambuzi ndani au? 😂😂😂😂
 
Juzi nimepita Makambako nikalala Njombe mjini Bado kazi kubwa kuwa miji mikubwa ingawa inakua Kwa kasi
Miji inakua bwana ulinganisha na wapi maana saiz njombe na makambako zimetenganishwa na msitu wa tanwat ambao ni km 19 tu na around msitu tayar watu wamesha Jenga nyumba za kutosha na ujue makambako to njombe ni km 59 km
3-0~2.jpg
40060146-9327749-The_farm_is_beautifully_set_out_among_the_rolling_hills_and_its_-m-8_16149047...jpg
 
Tunaweza tusihitaji majimbo ila tukawa na kanuni ya mgawanyo wa rasilimali za Nchi kuliko kutegemea utashi wa viongozi..

Mfano vigezo vya population,nature of terrain,hali ya maisha ya watu nk
Hivyo haviwez kuzingatiwa ni bora tujigawe kila mtu ale alichotafuta na kinachopatikana kwenye maeneo yao tumechoka huu ujinga wa serikali yenu.
 
Tunaweza tusihitaji majimbo ila tukawa na kanuni ya mgawanyo wa rasilimali za Nchi kuliko kutegemea utashi wa viongozi..

Mfano vigezo vya population,nature of terrain,hali ya maisha ya watu nk
Kwani si ndio mfumo tunaotumia sa hv ...vip efficiency na effectiveness yake
 
Yani kutembea kifua mbele dhidi ya njombe aka green gold city msahau wajomba kati ya mkoa uliojipanga basi ni njombe wenzenu hadi Sasa wamefanya division ya maeneo kama manne Kuna njombe tc ,makambako tc ,igwachanya na ilembula haya maeneo tayari wamesha tengenezea Kila huduma anzia Barabara za mitaa ,taa za barabarani ,hospitali ,vyuo vya kati viwanda ,benk nk vyote hivyo
3-0~2.jpg
vimefanyika na Sasa matokeo chanya yameanza kuonekana watu wanatoka kenya wanawekeza hatari hizi sehemu maana huduma zote zipo bado wa mikoa ya jiran tayari wameanza kuutazama mkoa wa njombe tofauti maana Kasi imezidi na tayari centre hizi zinaungana kimakazi ndoo maana hata viongozi wa serikari wameamua kuwa uwe mkoa wa kimkakati ukanda wa nyanda za juu kusini na bado mwez wa pili baadhi migodi inaanza kazi ludewa na baadhi ya viwanda vinajengwa kwenye green gold city hiyo

Tactic itafanya shy town na kahama itembee kifua mbele, kuliko wale wakulima wa maparachichi.
 
Back
Top Bottom