Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Nimetaja mara au kagera? Mbona unashoboka sana.Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbona
Nimetaja mara au kagera? Mbona unashoboka sana.Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbona
Kwanini hawataki serikali za majimbo kila sehemu ile urefu wa kamba yake, tumechoka rasilimali zetu kufaidisha watu wavivu waliolala.Mwanza hakuna hata barabara Moja ya tanroad lkn nawaambien Kanda ya ziwa ni kama maji usipoyaoga utayanywa
Lami zinajengwa kwenye matope.. huku Kanda ya ziwa lami zipo za kutoshaMtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..
Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?
Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
Hiyo mikoa zijaitaja kwasababu najua serikali hii inakomesha mikoa yenye wakazi wasukuma.Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbona
Safi sana cc kitombileLami zinajengwa kwenye matope.. huku Kanda ya ziwa lami zipo za kutosha
Siku mkibomoa daraja la kigongo busisi ndio serikali hii itawakumbuka.Barabara ya kutoka magu kwimba ni muhimu sana Kwa uchumi lkn serikali haijali
Huyo mikdde ni mjumbe wa nec wa ccm, hajui tabu za kanda ya ziwa.Safi sana cc kitombile
Kwani kaka ...mbeya lami Gaan ya maana wanayojengewa ukiacha upanuzi wa barabara ya igawa ,,,.....Siku mkibomoa daraja la kigongo busisi ndio serikali hii itawakumbuka.
Ndio tunazitaka hizo za kuunganisha Mikoa kwani wewe unataka lami gani?Kwani kaka ...mbeya lami Gaan ya maana wanayojengewa ukiacha upanuzi wa barabara ya igawa ,,,.....
Kama ni hizo lami za makete ,,,ni barabara za kuunganisha mikoa ,,,,
Kanda ya ziwa barabara za kuunganisha mikoa tayari zote Zina lami ...
Simiyu na mikoa ya kaskazini imeunganishwa?Kwani kaka ...mbeya lami Gaan ya maana wanayojengewa ukiacha upanuzi wa barabara ya igawa ,,,.....
Kama ni hizo lami za makete ,,,ni barabara za kuunganisha mikoa ,,,,
Kanda ya ziwa barabara za kuunganisha mikoa tayari zote Zina lami ...
Hilo halipo Hadi daraja la Magufuli liishe,kwanza gharama ya mradi ni sawa na km 500 za lamiSERIKALI FANYENI FAIR KWENYE MIRADI YA BARABARA NA SISI KANDA YA ZIWA TUPATE MIRADI ATA MIWILI YA BARABARA ZA KUFUNGUA UCHUMI WA KANDA HII.
Huku tayari zipo ...Ndio tunazitaka hizo za kuunganisha Mikoa kwani wewe unataka lami gani?
Kuna ujenzi huko unaendelea wa Simiyu Hadi Lalago huko na Simiyu Hadi SingidaSimiyu na mikoa ya kaskazini imeunganishwa?
Ukisema hvyo ...nitakuuliza pia mbeya na tabora imeunganishwa na lami ?...ni lazima tubalance kwenye kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kulaumuSimiyu na mikoa ya kaskazini imeunganishwa?
Kama wewe ndio mjumbe wa neck huko ccm basi chama kimeoza .Huku tayari zipo ...
Sa Hivi tuna deal multi bilion projects,,,sio vibarabara uchwara hivyo ambavyo total budget haifikii hata 200 bilioni
Hili daraja linafanya mtusahau kabisa kwenye miradi, mtuonee huruma japo barabara moja ya muhimu kutoka magu, kwimba adi kahamaHilo halipo Hadi daraja la Magufuli liishe,kwanza gharama ya mradi ni sawa na km 500 za lami
cc mjumbe wa NEC 😁😁Hili daraja linafanya mtusahau kabisa kwenye miradi, mtuonee huruma japo barabara moja ya muhimu kutoka magu, kwimba adi kahama