Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha kupanic usifananishe shy town na lijiji la mabajaji kama la mbeya.
Mradi wa Chuo Kikuu Cha MUST chini HEET Rukwa Campus kuanza..

Huko Shinyanga Mabaiskeli Kuna tawi hata la Chuo Kikuu ukiacha OUT? 👇
Screenshot_20230114-081105.jpg
 
Mradi wa Chuo Kikuu Cha MUST chini HEET Rukwa Campus kuanza..

Huko Shinyanga Mabaiskeli Kuna tawi hata la Chuo Kikuu ukiacha OUT? 👇View attachment 2480413
Unaumwa wewe,Chuo cha Ushirika moshi ukitoa main campus ya moshi tawi lingine ni la Kizumbi Shy,tena ili la Shy linakatwa mwaka huu kiwe chuo kikuu kinachojitegemea tayari uboreshaji miundombinu unaendelea,hii ni sambamba na upandishaji wa chuo cha afya na tiba kolandoto.Kuna vyuo vikuu vipya viwili pia vitajengwa mwaka huu.
 
Nyie mlitukumbuka wakati wenu?
Naona kama serikali ya wakati huu inachuki na kanda ya ziwa hakuna barabara ata moja hawamu hii iliyotangaziwa tender, kila siku ni kigoma kwa wakina philipo mpango, mbeya, lindi, songwe, sumbawanga, dar, dodoma na lindi na mikoa yote ya kusini, kwani shida ya kanda ya ziwa ipo wapi???????????
 
Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..

Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?

Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
 
Kwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.
 
Dar hawana madaraja, hawana sgr, hawana brt hawana mabarabara lakini kila siku ni mwendo wa miradi..... Why kanda ya ziwa hawamu hii hawamu inachuki gani na kanda ya ziwa???
 
Kwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.
Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana biashara baina ya kanda hizi mbili kwani watu wakutoka Tabora,Kagera,Geita,Mwanza,Shy,Simiyu,Kigoma hawatakua na ulazima wakuzungukia Singida-Babati.Pia kuna barabara muhimu kama ya Kahama-kakola-geita,Kahama-Tabora nk.
 
Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbona
 
Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana biashara baina ya kanda hizi mbili kwani watu wakutoka Tabora,Kagera,Geita,Mwanza,Shy,Simiyu,Kigoma hawatakua na ulazima wakuzungukia Singida-Babati.Pia kuna barabara muhimu kama ya Kahama-kakola-geita,Kahama-Tabora nk.
Hii serikali bado ina chuki na kanda ya ziwa ata ilani ya ccm haitekelezwi ni kama wanafanya kukomoa kanda ya ziwa kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom