Kahama VS Njombe/Mafinga

Miti ya kivuli ni green gold lazi muelewe tunavo wambia green gold city mwendo wa kuifukuzia mexico
FB_IMG_16737044432129169.jpg
 
Busokelo Kuna lami,,,,ileje je
Wewe Mbeya huijui,kote huko kuna lami,Busokelo Iko Rungwe na ukiacha ya TanRoads,Tarura wamejenga lami mpya..

Ileje Kuna lami inaanzia isongole Hadi Tunduma na nyingine ndio nimewaobesha mkataba utatiwa Saini mwezi wa pili kutoka kyela Hadi Ileje/Kasumulu.
 
Mi Nazungumzia majimbo we unaleta masuala ya rungwe ...nasema Jimbo la busokelo. Kuna lami huko
 
Mkoa wa Mbeya mwaka huu wa 2022/23 tutavunja rekodi ya Makusanyo ya Halmashauri..

Chunya out of 5.3bln wamekusanya 3.9bln Kwa nusu mwaka ndio kusema Hadi June mapato yataenda kwenye 7bln.👇
 
Miradi mikubwa hupelekwa kwenye mikoa mikubwa ..
Kazi inaendelea kwenye hii miradi
JPM bridge -=700 bilion value
,mv mwanza =bilion 80 value
Mradi wa maji =bilion 300
Stendi ya nyegezi =bilioni 16
Jengo la abiria terminal 1 =bilion 12
Soko kuu =bilion 15
JUMLA = trilion 1.13

Wakati miradi yote nyanda za juu haifikii hata milion 500
Na hapa nimezungumzia mkoa mmoja ..
Nyie endeleeni kushangilia barabara ya kasumulu
20230115_124455.jpg
20230112_194732.jpg
20230111_123242.jpg
Screenshot_20230114-114336.jpg
20221018_131922.jpg
JamiiForums-445343343.jpg
JamiiForums-2118947273.jpg
 
Miradi mikubwa hupelekwa kwenye mikoa mikubwa ..
Kazi inaendelea kwenye hii miradi
JPM bridge -=700 bilion value
,mv mwanza =bilion 80 value
Mradi wa maji =bilion 300
Stendi ya nyegezi =bilioni 16
Jengo la abiria terminal 1 =bilion 12
Soko kuu =bilion 15
JUMLA = trilion 1.13

Wakati miradi yote nyanda za juu haifikii hata milion 500
Na hapa nimezungumzia mkoa mmoja ..
Nyie endeleeni kushangilia barabara ya kasumulu View attachment 2482601View attachment 2482603View attachment 2482605View attachment 2482614View attachment 2482617View attachment 2482619View attachment 2482621
Soko kuu ni 20.7 bilion
 
Hizi bilion 300 za maji zimetoka lini? Me sina uhakika mkuu kama kweli hizo pesa zililetwa kwaajili ya maji.
 
Hizi bilion 300 za maji zimetoka lini? Me sina uhakika mkuu kama kweli hizo pesa zililetwa kwaajili ya maji.
Mradi wa maji butimba
Mradi wa maji buchosa
Mradi wa maji kwimba
Matenk ya buswelu na maeneo mbalimbali mwanza
Miradi ya maji ukerewe
Miradi ya maji magu
Miradi ya maji misungwi
Na miradi ya maji sengerema..
.total value bilioni 300
 
Back
Top Bottom