The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Sema ulimbukeni ndio unakusumbua ila Mji Ukiwa planned unakuwa Bora kuliko uswazi wenye magorofa mengiKabisa....inabaki kuwa planned village![]()
Sema ulimbukeni ndio unakusumbua ila Mji Ukiwa planned unakuwa Bora kuliko uswazi wenye magorofa mengiKabisa....inabaki kuwa planned village![]()
Wacha ushamba,Barabara ziko wapi?
Sumbawanga 👇
Mlimbuken ni wew unayebabaishwa na barabara Moja hyo ....,,,then mbona unaforce picha za mwanza......nishakuambia ,,,,, favor pekee nayaweza kufanya ni kuweka battle ya mbeya vs ilemela...lakin uchafu wako huo sumbawanga,wafaa kufananishwa na ushirombo au runzewe....Sema ulimbukeni ndio unakusumbua ila Mji Ukiwa planned unakuwa Bora kuliko uswazi wenye magorofa mengi
Huko kwenu ni malishoni hakuna Barabara Wala ustaarabu mnaishi kama zizini au dampo 😁😁.Ukitumwa barabara utaleta hizi? ....jifunze kutofautisha kati ya barabara na vichochoro.
Sumbawanga nzima kuna ghorofa tano nazo ni apartment za NHC.Huko kwenu ni malishoni hakuna Barabara Wala ustaarabu mnaishi kama zizini au dampo 😁😁.
Sumbawanga 👇View attachment 2480073View attachment 2480074View attachment 2480075View attachment 2480076
Wewe ni ndezi na mshamba wa huko mwaloni..Mlimbuken ni wew unayebabaishwa na barabara Moja hyo ....,,,then mbona unaforce picha za mwanza......nishakuambia ,,,,, favor pekee nayaweza kufanya ni kuweka battle ya mbeya vs ilemela...lakin uchafu wako huo sumbawanga,wafaa kufananishwa na ushirombo au runzewe....
Miradi kama hii ipo inajengwa karibu kila kata,Kila kata wanajenga soko,stand ya kisasa ya hiace&bajaji,bustani za kisasa za kupumzikiawow ..the diamond town is on
![]()
Ndivyo uliona kwenye sensa ziko tano? 😆😆😆😆.Sumbawanga nzima kuna ghorofa tano nazo ni apartment za NHC.
Pia kutakua na ujenzi wa shopping mall kubwa eneo la mazingira center.wow ..the diamond town is on
![]()
Acha porojo shy town kumbe wanajenga masoko, stendi na recreational parks kila kata, wewe na mikoa yenu mkibaki kusubiria Igawa road😜😜😜😜😜Ndivyo uliona kwenye sensa ziko tano? 😆😆😆😆.
Tena miradi inaendelea kwa kasi sema hakuna wapiga picha tu,kila sehemu ukitembelea kuna mradi.Acha porojo shy town kumbe wanajenga masoko, stendi na recreational parks kila kata, wewe na mikoa yenu mkibaki kusubiria Igawa road😜😜😜😜😜
Karibu sana mzee wa shy town...uwaonyeshe ndoige Hawa uswekeni boysMiradi kama hii ipo inajengwa karibu kila kata,Kila kata wanajenga soko,stand ya kisasa ya hiace&bajaji,bustani za kisasa za kupumzikia
Miji ya kanda ya ziwa hazina matambo mengi.Tena miradi inaendelea kwa kasi sema hakuna wapiga picha tu,kila sehemu ukitembelea kuna mradi.
Vitu simple tu navyakuvutia na mwendo wa kimya kimya.Mradi wa tactis wa Benki ya dunia unaokuja ni wakuja kujazia jaziaMiji ya kanda ya ziwa hazina matambo mengi.
Tactic itafanya shy town na kahama itembee kifua mbele, kuliko wale wakulima wa maparachichi.Vitu simple tu navyakuvutia na mwendo wa kimya kimya.Mradi wa tactis wa Benki ya dunia unaokuja ni wakuja kujazia jazia
Hii miradi niliiona nikashangaa shy walivyojipanga ila nilikuwa nasubiri iishe ndio niimwage naona umeniwahi🤣🤣Tena miradi inaendelea kwa kasi sema hakuna wapiga picha tu,kila sehemu ukitembelea kuna mradi.
Ukiachana na hio barabara...hapo ndo sumbawanga mjini?Hivi wewe kiazi unadhani Sumbawanga ni sawa na huko porini Kwa wavuvi?
Utakuwa ni mgeni humu jukwaani bila shaka.
Utaaibika Bure,Mwaloni zone nzima hakuna Barabara kama hii
View attachment 2479999View attachment 2480000View attachment 2480001
...