Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Naokota wapi Sasa mzee? Hujui kusoma vibao vya mabusi na hayo maelezo?

Wenzio wamekubali wewe bado unashupaa.Tanzania hapa hakuna route inayozidi mabasi kwa Idadi na ubora kushinda route ya Dar-Mbeya/Tunduma na Dar-Njombe/Songea..

Njombe na Superfeo
Usijitoe akili, hii picha ya basi ni Kahama
JamiiForums-498690057.jpg
 
Attachments

  • 20221120_092926.jpg
    20221120_092926.jpg
    84.6 KB · Views: 8
  • 20221120_100001.jpg
    20221120_100001.jpg
    74.5 KB · Views: 7
  • 20221120_100033.jpg
    20221120_100033.jpg
    82 KB · Views: 8
  • 20221120_100132.jpg
    20221120_100132.jpg
    506.3 KB · Views: 7
  • 20221120_111002.jpg
    20221120_111002.jpg
    668.2 KB · Views: 7
  • 20221120_111122.jpg
    20221120_111122.jpg
    370.9 KB · Views: 8
  • 20221120_111205.jpg
    20221120_111205.jpg
    119.1 KB · Views: 8
  • 20221120_111208.jpg
    20221120_111208.jpg
    129.4 KB · Views: 6
  • 20221120_111759.jpg
    20221120_111759.jpg
    86.7 KB · Views: 7
  • 20221120_114139.jpg
    20221120_114139.jpg
    88.9 KB · Views: 8
  • 20221120_114124.jpg
    20221120_114124.jpg
    129.6 KB · Views: 7
Nilikosea nilikuwa namaanisha Mwanza- shinyanga🙏🙏
Ndio maana wameaema watajenga njia 4 Hadi hapo njiapanda ya Mwanangwa..

Hiyo njia Ni shortcut ya Kwenda Kahama kutoka Mwanza inapita Kijiji fulani huko huwa Kuna Machimbo ya madini sijui Ni Kakola,nimepita nakufahamu..

Swali kutoka Mwanza Kwenda Kahama via Mwanangwa na kutoka Mwanza kwenda Kahama via Magufuli Bridge na Geita wapi Ni mbali?
 
Kumbe super feo ni mkinga?

Super feo ndio mmiliki wa kampuni ya mabasi ya selou, kachafua kusini kamaliza, kwa sasa anafika mwanza na moshi kutokea songea, halafu master na achinwene na sauli ni matajiri wa dhahabu wa chunya, kwa mabasi kusini sijaona kanda ya kuwafikia hasa Mbeya kwa sasa hawana mpinzani zamani ilikua Arusha/ moshi kwa sasa wametupwa mbali, sehemu pekee utasafiri masaa 24 kufika Dar ni Uyole kwenye hilo watu wa mwanza na kahama siwatetei upande huo mmepigwa tatu bila
 
Umemaliza kila kitu mkuu 👍👍
 
Ndio maana wameaema watajenga njia 4 Hadi hapo njiapanda ya Mwanangwa..

Hiyo njia Ni shortcut ya Kwenda Kahama kutoka Mwanza inapita Kijiji fulani huko huwa Kuna Machimbo ya madini sijui Ni Kakola,nimepita nakufahamu..

Swali kutoka Mwanza Kwenda Kahama via Mwanangwa na kutoka Mwanza kwenda Kahama via Magufuli Bridge na Geita wapi Ni mbali?
Naona kupitia Mwanangwa ndio karibu.
 
Sindano tayari imefika kunako..mengine Ni kujifariji tuu.

Tatizo sio kuwa na stand nyingi,swala Ni bus classic..

Yaani watu wanapanda kwenye mabus na mbuzi,michembe,maziwa,wananuka nani awaletee bus Kali?

Nyie Bus zenu ni hizi hapa
Endeleen kufurahia hayo mabasi machovu...huku kanda ya ziwa ikiongezeka International airport moja kubwa pande za Bukoba....

Another airport coming....sometimes accidents zina happen for the reason
Screenshot_20221120-153552.jpg
Screenshot_20221120-130949.jpg
Screenshot_20221120-153536.jpg
 
Huyo tuu ndio pekee anajitahidi kuwasitiri maana hata ukifuatilia discussions za ma admn walau wanasema anajitahidi..

Ila Bukoba msijali tunalawaletea hii Abood iliyokuwa Tunduma afu sie tunachukua chuma mpya .

BK kenueni meno ndege zitawamaliza
Everything to Bukoba ni luxury...

Songoro marine kaleta chuma zake mbili hizo...

Mwanza bkb 3hrs tu...
JamiiForums-2122197559.jpg
 
View attachment 2422189
Karibu mwanza Sunk Fallacy, nakupa hongera siku hizi matusi umeacha ndio ustaarabu huo.

Ila majuzi nilikuona umewavamia watu wa Arusha kwenye uzi wao walikutakana balaa😂😂😂
Jamaa kabadirika siku hizi yale matusi ya nguoni halishaacha na siku hizi anabishana kistaharabu, nazan atakuwa kafunga ndoa hivi karibuni.
 
NI kama kazizi ka ng'ombe
Wala sikatai hapa...stendi ya Bukoba ni zizi la ngombe, mbuzi, bata nk...Na wapo tu wakina chalamila wanapiga porojo...
Kama ulishawahi kufika soko la mabibo wakati wa mvua basi stendi ya Bukoba ndo ilivyo mwaka mzima...

Lakin fresh tu kwani watu wa Bukoba wanaishi stendi? Watu wa mabasi na daladala ndo uteseka muda wote wapo kwenye mabuti...

Siku serikali ikiona sawa itajenga isipotaka watajuana wenyew huku...
 
Ila Raisi kwa nini kamuondoa Bashungwa Tamisemi?
 
Back
Top Bottom