Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Hiyo picha ni ya mwaka jana lakini hilo ghorofa lina miaka 12 lipo hivyo hivyo.Hii nini?
Hiyo picha ni ya mwaka jana lakini hilo ghorofa lina miaka 12 lipo hivyo hivyo.Hii nini?
Hiyo stendi yenu linganisha na stendi ya bukoba, nyie bado sana.Mkuu umefika Njombe? Stendi ya Njombe super sana.
Acha utoto hakuna tajiri wa kumfikia Superfeo huko kwenu..Naye anajitaiditaidi atafika tu level za matajiri wa mabasi kanda ya ziwa.
Hayo mayutong mchina ndio yanakufanya umwone tajiri wa mabasi😀😀😀😀😀Acha utoto hakuna tajiri wa kumfikia Superfeo huko kwenu..
Tanzania anashindana na Abood,Mchina wa Newforce labda kidogo na Frester kwenye biashara ya kusafirisha abiria kwa mabasi..
Cheki vyuma hivi ametandaza Nchi nzima 👇
😁😁😁😁 Ya kwenu yako wapi? Au ndio haya hapa? 👇Hayo mayutong mchina ndio yanakufanya umwone tajiri wa mabasi😀😀😀😀😀
Mwanza Songea ni kwa ajili ya watu wa kusini na Nyanda za juu waliokuja kutafuta maisha kanda ya ziwa.Matajiri wetu wa Kusini Kama Bw.Msigwa amewaonea huruma baada ya kuona mkihangaika na usafiri..
Amewaletea vyuma Bora kabisa ili mpgie na picha..Superfeo/Selous Express unqchagua rangi mwenyewe 🏃🏃🏃🏃..
Mwanza-Songea 👇
Sisi huwa tunaenda kutafuta pesa huko kwao na kujikita kwenye kilimo, then tukishavuna tunarejea kanda ya ziwa.Mwanza Songea ni kwa ajili ya watu wa kusini na Nyanda za juu waliokuja kutafuta maisha kanda ya ziwa.
Hakuna mtu wa kanda ya ziwa anaenda huko kusini na Nyanda za juu
Mkuu hii ndio stendi kuu NjombeNyie watu wa njombe nawapa miaka 10 kama mtakuja kupata stendi kama hiyo ya bukoba mjini kwa wakinanshomile waitu.
😂😂😂😂😂 Ona huyu mfugo .Mwanza Songea ni kwa ajili ya watu wa kusini na Nyanda za juu waliokuja kutafuta maisha kanda ya ziwa.
Hakuna mtu wa kanda ya ziwa anaenda huko kusini na Nyanda za juu
Hizo picha kwa sababu hujui kupost Huoni zina Taarifa gani, yaani zina maelezo ya town council tofauti na maelezo yako.Zile zile kivipi? Hujui kusoma? Hizo shule ziko kwenye ujenzi na ndio maana nakuletea maelezo ya shule na status ya ujenzi..
Hamna hiyo jeuri ya kurudi huko kwenye desert..Sisi huwa tunaenda kutafuta pesa huko kwao na kujikita kwenye kilimo, then tukishavuna tunarejea kanda ya ziwa.
Ila ya bukoba we unaionaje😂😂😂😂Mkuu hii ndio stendi kuu Njombe
Kumbe watu wa kanda ya ziwa ni akili kubwa kama wanaweza kulima vyakula kwenye jangwa na wakawa wanaongoza kwa production ya kilimo Tanzania nzim basi wapigie makofi tu.Hamna hiyo jeuri ya kurudi huko kwenye desert..
NI kama kazizi ka ng'ombe😂😂Ila ya bukoba we unaionaje😂😂😂😂
We jamaa wewe ngoja tumkaribishe instanbul bepari😂😂😂😂😂😂😂😂😂NI kama kazizi ka ng'ombe😂😂
Njaa ilishakita mizizi huko kwenuKumbe watu wa kanda ya ziwa ni akili kubwa kama wanaweza kulima vyakula kwenye jangwa na wakawa wanaongoza kwa production ya kilimo Tanzania nzim basi wapigie makofi tu.
Wenye njaa wewe hukuwaona, Dar ndio ipo kwenye negative surplus, kanda ya ziwa tuna akiba ya kutosha ata mwaka mzima bila kulima.Njaa ikishakita mizizi huko kwenu
Toka nizaliwe mwanza haijawahi kuwa sawa na mbeya,Umesoma maelezo yangu hapo Juu? Nimekwambia kabla ya Barabara kufunguka Mbeya na Mwanza vilikuwa sawa tuu ila gap limeanza baada ya Mkapa kufungua hiyo Road..
Kwa Nini isihusiane? Kwani hujui kwamba shughuli za biashara na Mikoa ziliimarishwa baada njia kufunguka?
Bukoba hawana stendi, ndio inaenda kujengwa na tactic.Nyie watu wa njombe nawapa miaka 10 kama mtakuja kupata stendi kama hiyo ya bukoba mjini kwa wakinanshomile waitu.
Njombe iko vizuri kuliko mbeya na TundumaMkuu hii ndio stendi kuu Njombe