Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Matokeo ya kura za Barabara Kali hapa Tanzania Route ya Mbeya inaongoza,na hii ndio sababu ya kuwa na mabasi makali 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-094808.png
    Screenshot_20221120-094808.png
    35 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-110927.png
    Screenshot_20221120-110927.png
    213 KB · Views: 5
  • 20221120_130634.jpg
    20221120_130634.jpg
    203.9 KB · Views: 6
  • 20221120_130636.jpg
    20221120_130636.jpg
    196.9 KB · Views: 7
  • 20221120_113514.jpg
    20221120_113514.jpg
    57 KB · Views: 6
  • 20221120_113614.jpg
    20221120_113614.jpg
    177.9 KB · Views: 6
  • 20221120_111701.jpg
    20221120_111701.jpg
    57.2 KB · Views: 6
  • 20221120_110358.jpg
    20221120_110358.jpg
    80.7 KB · Views: 6
  • 20221120_100208.jpg
    20221120_100208.jpg
    368.5 KB · Views: 7
  • 20221117_092135.jpg
    20221117_092135.jpg
    390.6 KB · Views: 6
  • 20221120_115007.jpg
    20221120_115007.jpg
    98 KB · Views: 7
😂😂😂😂😂 Ona huyu mfugo .

Songea,Njombe mpakani na Ifakara,Malinyi,Mahenge Wasukuma wamejaa na mang'ombe Yao..

Juzi tuu hapo Tunduru Wasukuma walilisha shamba la mkulima afu wakamuua then wanakijiji wakajipanga wakaua Wasukuma 3..

Hakuna sehemu Wasukuma hawapo hapa Tanzania,uwe unatembea sio kushinda Buchosa hapo afu unatusumbua..
Wafugaji hawapandi mabasi hao
 
Toka nizaliwe mwanza haijawahi kuwa sawa na mbeya,

Nashukuru umekiri barabara zilifungua kanda ya ziwa, hii ni kuonyesha shughuli za kiuchumi huku ziko juu.
Imagine Mbeya na Arusha pia Dom zilikuwa zinafikika kwa lami Toka dar kwa miaka mingi sana ila ndio hivyo tena.
Kanda ya Ziwa ingekuwa imeunganishwa kwa lami Toka zamani gape lingekuwa kubwa sana.
Sasa subiri sgr iishe, kumbuka Tactic pia inaenda kujenga stendi na masoko na barabara kwenye miji mingi ya kanda ya ziwa, baada ya hapo subiri gape.
Kwenu Kuna sgr na sisi Kuna Express way Igawa-Tunduma km 172..

Tactic Iko Nchi nzima.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-134547.png
    Screenshot_20221120-134547.png
    164.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-110807.png
    Screenshot_20221120-110807.png
    164.6 KB · Views: 6
Hii kitu siwezi kubisha njia ya mbeya ina road nzuri sana, sema nini njia ya Dar- mwanza in barabara toka henzi za Mwanyi, lakini naiman barabara ya Dar- Mwanza itarekebishwa tu.
Wakati niko mdogo nilishawahi safiri na basi mza to Dom tulilala siku mbili njiani sio kwamba basi liliharibika, hapana, njia ilikuwa mbovu balaa. Pale sekenke palikuwa pabaya sana
 
Hii kitu siwezi kubisha njia ya mbeya ina road nzuri sana, sema nini njia ya Dar- mwanza in barabara toka henzi za Mwanyi, lakini naiman barabara ya Dar- Mwanza itarekebishwa tu.
Ukileta garasa njia ya Mbeya-Njombe/Tunduma utalihamisha next day..

Huwa hatupandi Mitungi ya gongo tunapanda Mabasi makali Kama haya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-093206.png
    Screenshot_20221120-093206.png
    222.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-093504.png
    Screenshot_20221120-093504.png
    203.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221120-100711.png
    Screenshot_20221120-100711.png
    213 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-110138.png
    Screenshot_20221120-110138.png
    234 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-110055.png
    Screenshot_20221120-110055.png
    232.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221120-110343.png
    Screenshot_20221120-110343.png
    224.6 KB · Views: 5
  • 20221120_112300.jpg
    20221120_112300.jpg
    102.2 KB · Views: 7
  • 20221120_112026.jpg
    20221120_112026.jpg
    104.4 KB · Views: 8
  • 20221120_100616.jpg
    20221120_100616.jpg
    112.2 KB · Views: 7
  • 20221120_100451.jpg
    20221120_100451.jpg
    523.4 KB · Views: 7
  • 20221120_094646.jpg
    20221120_094646.jpg
    59.6 KB · Views: 6
  • 20221120_095102.jpg
    20221120_095102.jpg
    79.1 KB · Views: 8
Tumekushtukia unaokota okota picha za mabasi
Naokota wapi Sasa mzee? Hujui kusoma vibao vya mabusi na hayo maelezo?

Wenzio wamekubali wewe bado unashupaa.Tanzania hapa hakuna route inayozidi mabasi kwa Idadi na ubora kushinda route ya Dar-Mbeya/Tunduma na Dar-Njombe/Songea..

Njombe na Superfeo 👇
 

Attachments

  • 20221120_124958.jpg
    20221120_124958.jpg
    228.6 KB · Views: 7
  • 20221120_124930.jpg
    20221120_124930.jpg
    130.8 KB · Views: 5
  • 20221120_112447.jpg
    20221120_112447.jpg
    60.2 KB · Views: 8
  • 20221120_112433.jpg
    20221120_112433.jpg
    61 KB · Views: 7
Back
Top Bottom