Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Ila hajafikia matajiri wa mabasi kanda ya ziwa kama wakina nyehunge, allys n.k, hao wana vitu vya ukweli sana.Ndo unajua leo? Habari ndio hiyo
Ila hajafikia matajiri wa mabasi kanda ya ziwa kama wakina nyehunge, allys n.k, hao wana vitu vya ukweli sana.Ndo unajua leo? Habari ndio hiyo
Hakuna unachojua zaidi ya maujingaHadhi iliyokuwa nayo Mwanza kipindi inapata city status, mbeya hii bado haijafika.
Jamaa ni mshamba sana, ngoja apate traffic lights ata post humu balaa😂😂Shule za magorofa ulianza kuziona lini kwa mara ya kwanza, naona unashoboka sana na magorofa😂😂😂
Mbona unapost picha zilezile za Tunduma Town Council?😆😆😆😆😆 Ziko wapi?
Shule ya Msingi ya ghorofa Kokoto ndani ya Tunduma 👇
Wewe una shida Tena sio ndogo,Msigwa ana mpango wa kwenda Mikoa yote hapa Tanzania.Ila hajafikia matajiri wa mabasi kanda ya ziwa kama wakina nyehunge, allys n.k, hao wana vitu vya ukweli sana.
Zile zile kivipi? Hujui kusoma? Hizo shule ziko kwenye ujenzi na ndio maana nakuletea maelezo ya shule na status ya ujenzi..Mbona unapost picha zilezile za Tunduma Town Council?
Nipate wapi? Mbona ziko karibu kila Mji saizi?Jamaa ni mshamba sana, ngoja apate traffic lights ata post humu balaa😂😂
Hiyo sio bukoba utakuwa umeisingizia😅😅😅😅😅😅Huo ni mji au Kijiji.Manispaa kongwe 😂😂😂😂
Naye anajitaiditaidi atafika tu level za matajiri wa mabasi kanda ya ziwa.Nipate wapi? Mbona ziko karibu kila Mji saizi?
Hayo mengine mnajifariji tuu..
Eti wanataka Kuehindana na Mbeya kwa Buses Kali haiwezekani nyie komaeni na sgr ya Mchongo tuu👇
Una habari lami ya mwanza mpaka Shinyanga mpakani kajenga Mwinyi?Hakuna unachojua zaidi ya maujinga
Unakumbuka Kuna wimbo msaani fulani aliimba kwamba Kama Mwanza Ni Jiji kwa Nini Mbeya usiwe jiji?
Kipindi Majiji yelikuwa yanaendana,Mwanza umekimbia baada ya Barabara ya Dar kufunguka kipindi Cha Mkapa,Mbeya Kuna lami hadi Wakati Mwanza lazima Uzunguke Nairobi.
Sgr nayo imeshakuwa ya mchongo, roho mbaya, chuki na wivu vitakuua 😝😝😝😝😝Nipate wapi? Mbona ziko karibu kila Mji saizi?
Hayo mengine mnajifariji tuu..
Eti wanataka Kuehindana na Mbeya kwa Buses Kali haiwezekani nyie komaeni na sgr ya Mchongo tuu👇
Si mtapakia mbuzi,kupakata ndama,pombe nk itakuwa sgr hiyo kweli? 🤸🤸🤸🤸Sgr nayo imeshakuwa ya mchongo, roho mbaya, chuki na wivu vitakuua 😝😝😝😝😝
Sijasingizia ukweli ndio huo😂😂😂Wake kukanusha kama sio stendi kuu yaoHiyo sio bukoba utakuwa umeisingizia😅😅😅😅😅😅
Hiyo sgr itapeleka mizigo nchi nyingi tu kupitia Mwanza, we ulitaka ianzie kigoma isafirishe migebuka na mawese.Si mtapakia mbuzi,kupakata ndama,pombe nk itakuwa sgr hiyo kweli? 🤸🤸🤸🤸
Umesoma maelezo yangu hapo Juu? Nimekwambia kabla ya Barabara kufunguka Mbeya na Mwanza vilikuwa sawa tuu ila gap limeanza baada ya Mkapa kufungua hiyo Road..Una habari lami ya mwanza mpaka Shinyanga mpakani kajenga Mwinyi?
Kuzungukia Nairobi inahusiana nini na hadhi ya jiji?
Nyie watu wa njombe nawapa miaka 10 kama mtakuja kupata stendi kama hiyo ya bukoba mjini kwa wakinanshomile waitu.Sijasingizia ukweli ndio huo😂😂😂Wake kukanusha kama sio stendi kuu yao
Mkuu umefika Njombe? Stendi ya Njombe super sana.Nyie watu wa njombe nawapa miaka 10 kama mtakuja kupata stendi kama hiyo ya bukoba mjini kwa wakinanshomile waitu.
Hii nini?
Mbeya haijawahi kuwa sawa na Mwanza, wakati Mwanza ikiitwa jiji, mbeya ilikuwa ni kijiji cha wauza viazi.Umesoma maelezo yangu hapo Juu? Nimekwambia kabla ya Barabara kufunguka Mbeya na Mwanza vilikuwa sawa tuu ila gap limeanza baada ya Mkapa kufungua hiyo Road..
Kwa Nini isihusiane? Kwani hujui kwamba shughuli za biashara na Mikoa ziliimarishwa baada njia kufunguka?