The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Umeanza kuleta maujinga yenu ya kule jukwaa la KunyalandIla Raisi kwa nini kamuondoa Bashungwa Tamisemi?
Umeanza kuleta maujinga yenu ya kule jukwaa la KunyalandIla Raisi kwa nini kamuondoa Bashungwa Tamisemi?
Wewe Ni popoma..Yaan huyu abood...kaangalia maeneo yoteee...kaamua achukue bus zake luxury Bukoba...sio mbeya...sio iringa..sio songea..sio mtwwra but BUKOBA...
Imagine Bukoba everything is improvingView attachment 2422193View attachment 2422194
Lakini ana haki ya kuuliza.Umeanza kuleta maujinga yenu ya kule jukwaa la Kunyaland
Siwezi kuishi kwenye Kanda hata siku Moja 👇View attachment 2422189
Karibu mwanza Sunk Fallacy, nakupa hongera siku hizi matusi umeacha ndio ustaarabu huo.
Ila majuzi nilikuona umewavamia watu wa Arusha kwenye uzi wao walikutakana balaa😂😂😂
Wanajua wenyew na CCM yao...may be aliona atampiga kete 2025...si unajua sasa hiv they don't care about Tanzania na maisha yao...wao wanatarget 2025...wapate urais, uwaziri mkuu nk...Ila Raisi kwa nini kamuondoa Bashungwa Tamisemi?
Kanda ya nini...Siwezi kuishi kwenye Kanda hata siku Moja 👇
Ndo maana sasa wameamua kujenga uwanja mpya kabisa ...Na hii Ni luxury si ndio?.
Uwanja hauna hata taa Wala muongoza ndege,makelele unayopigaga Sasa utafikiri Ni uwanja wa OR Tambo![]()
Endeleeni kuwa na subra mkuu stendi itajengwa ata sisi mwanza pale nyegezi bila magufuli ata korogwe wangekuwa na stendi bora kuliko mwanza.Wanajua wenyew na CCM yao...may be aliona atampiga kete 2025...si unajua sasa hiv they don't care about Tanzania na maisha yao...wao wanatarget 2025...wapate urais, uwaziri mkuu nk...
Sisi watu weusi ni wabinafsi kweli kweli...hata huyo bashungwa kajenga stendi nzr ya mabasi jimboni kwake karagwe huko...wakati stendi ya Bukoba mji mkubwa zaidi kagera hauna stendi zaidi ya hiki kichochoro
Siasa in everything...
Manispaa kama Bukoba 2020 ingeshakuwa na stendi..lakin CCM wakapiga stop ujenzi wake eneo la kyakairabwa kisa ukamikishaji wake utawapa credit upinzani ukiokuwa unaongoza manispaa ya Bukoba....2020 ccm wamechukua jimbo lakin toka mwaka huo hadi sasa 2023 wanasubiri mradi w a tactic....
Na chalamila amekuja juzi ashaanza kurudisha migogoro tena hapo Bukoba ya mahali pa ujenzi wa stendi...so zile hela zilizojenga ya kyakairabwa zitapotea bure...
Ni hayo tu ndo Maana Bukoba hakunaga stendi hadi leo...imagine stendi ya Bukoba inazidiwa na bariadi, korogwe, singida na miji mingine midogo midogo...
Siwezi kuishi kwenye kansaKanda ya nini...
Lakin ni hata kama uwanja una changamoto zake...Na hii Ni luxury si ndio?.
Uwanja hauna hata taa Wala muongoza ndege,makelele unayopigaga Sasa utafikiri Ni uwanja wa OR Tambo![]()
Basi kama ni Hivyo itakuwa hawa wakuu wa mikoa wako kimkakati zaidi, maana hata yule mza kaja kavuruga mambo ya Airport balaa, anajiita financial adviserWanajua wenyew na CCM yao...may be aliona atampiga kete 2025...si unajua sasa hiv they don't care about Tanzania na maisha yao...wao wanatarget 2025...wapate urais, uwaziri mkuu nk...
Sisi watu weusi ni wabinafsi kweli kweli...hata huyo bashungwa kajenga stendi nzr ya mabasi jimboni kwake karagwe huko...wakati stendi ya Bukoba mji mkubwa zaidi kagera hauna stendi zaidi ya hiki kichochoro
Siasa in everything...
Manispaa kama Bukoba 2020 ingeshakuwa na stendi..lakin CCM wakapiga stop ujenzi wake eneo la kyakairabwa kisa ukamikishaji wake utawapa credit upinzani ukiokuwa unaongoza manispaa ya Bukoba....2020 ccm wamechukua jimbo lakin toka mwaka huo hadi sasa 2023 wanasubiri mradi w a tactic....
Na chalamila amekuja juzi ashaanza kurudisha migogoro tena hapo Bukoba ya mahali pa ujenzi wa stendi...so zile hela zilizojenga ya kyakairabwa zitapotea bure...
Ni hayo tu ndo Maana Bukoba hakunaga stendi hadi leo...imagine stendi ya Bukoba inazidiwa na bariadi, korogwe, singida na miji mingine midogo midogo...
Siwezi kuishi kwenye kansa
Yap hata ramani ya stendi ya Bukoba itakayoanza kujengwa rasmi march iko poa sana..Endeleeni kuwa na subra mkuu stendi itajengwa ata sisi mwanza pale nyegezi bila magufuli ata korogwe wangekuwa na stendi bora kuliko mwanza.
Hii itakuwa namba mbili baada ya mbezi louis Dar.Yap hata ramani ya stendi ya Bukoba itakayoanza kujengwa rasmi march iko poa sana..
Itakuwa among the best bus stands Tz...View attachment 2422306View attachment 2422307View attachment 2422308View attachment 2422309View attachment 2422310
Michoro vizuri hakika bukoba itashine kuliko mbeya kwa wakina sank kosti farasi.Yap hata ramani ya stendi ya Bukoba itakayoanza kujengwa rasmi march iko poa sana..
Itakuwa among the best bus stands Tz...View attachment 2422306View attachment 2422307View attachment 2422308View attachment 2422309View attachment 2422310
Hyo stendi Kwa bajeti ya pesa ya tactics,,,,haiwezi kuwa hvyoMichoro vizuri hakika bukoba itashine kuliko mbeya kwa wakina sank kosti farasi.
Yap hata ramani ya stendi ya Bukoba itakayoanza kujengwa rasmi march iko poa sana..
Itakuwa among the best bus stands Tz...View attachment 2422306View attachment 2422307View attachment 2422308View attachment 2422309View attachment 2422310

..utashangaa kitakachojengwa ,,Kwa render hyo inahitajika at least bilioni 50 ..Nami nimejiuliza coz huo mchoro ni wa siku nyingi sana ata kabla ya mradi wa tactic haujaanza, kingine render bado hazijatoka na tender hazijatangazwa, labda kama watajenga kwa hawamu na kwa mchoro huo si chini ya billion 30.Hyo stendi Kwa bajeti ya pesa ya tactics,,,,haiwezi kuwa hvyo
Mimi juzi amenishangaza sana huyo Chalamila...Basi kama ni Hivyo itakuwa hawa wakuu wa mikoa wako kimkakati zaidi, maana hata yule mza kaja kavuruga mambo ya Airport balaa, anajiita financial adviser

ila tz tuna viongozi aisee...
Nina wasiwasi na hii michoro, nimeiona hii miaka kama 5 huko nyuma, sidhani kama serikali itakuwa imepitisha hii.Yap hata ramani ya stendi ya Bukoba itakayoanza kujengwa rasmi march iko poa sana..
Itakuwa among the best bus stands Tz...View attachment 2422306View attachment 2422307View attachment 2422308View attachment 2422309View attachment 2422310