Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Humu hakuna wapiga debe wa stand wengine zaidi yako, ndio maana kwenye mabasi hatukujibu. Simple tu, kanda haiwezi kuwa na miji zina stand zaidi ya mbili na zikose bus classic, hiyo ni dalili kanda ina huduma za mabasi nyingi na nzuri, Ukija kwenye usafiri wa abiria hakuna kanda makampuni makubwa yanafanya biashara kama Lake zone.
Kwa kuongeza tu adi stendi zinakosa nafasi ya mabasi kupark kama vile stendi ya nyamhongolo ilivyojaa na muda mwingine hakuna nafasi kabisa.
 
Huu ni ushamba mwingine, kusifia magari mazuri ambayo hayana impact kwa ukuaji wa mji wako
Aisee ujinga ukichanganya na wivu Ni nouma,kwamba usafiri hauna impacts.😁😁😁😁

Haya hapa ya Mwanza Sasa ndio Yana impacts 😂😂😂👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-113142.png
    Screenshot_20221120-113142.png
    226.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-111306.png
    Screenshot_20221120-111306.png
    261.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-111026.png
    Screenshot_20221120-111026.png
    178.2 KB · Views: 8
Humu hakuna wapiga debe wa stand wengine zaidi yako, ndio maana kwenye mabasi hatukujibu. Simple tu, kanda haiwezi kuwa na miji zina stand zaidi ya mbili na zikose bus classic, hiyo ni dalili kanda ina huduma za mabasi nyingi na nzuri, Ukija kwenye usafiri wa abiria / ndege hakuna kanda makampuni makubwa yanafanya biashara kama Lake zone.
😂😂😂😂 Sindano tayari imefika kunako..mengine Ni kujifariji tuu.

Tatizo sio kuwa na stand nyingi,swala Ni bus classic..

Yaani watu wanapanda kwenye mabus na mbuzi,michembe,maziwa,wananuka nani awaletee bus Kali?😆😆

Nyie Bus zenu ni hizi hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-113142.png
    Screenshot_20221120-113142.png
    226.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-111026.png
    Screenshot_20221120-111026.png
    178.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-111306.png
    Screenshot_20221120-111306.png
    261.9 KB · Views: 6
Hayo mabasi mbona ya kawaida sana, ni kama yale yanayoenda bariadi na maswa.
Huwa nakukubali una mbinu nzuri za kujifariji na ku cool down tempa ukizidiwa 😁😁😁😁..

Moto fire 🔥🔥🔥 Mbeya-Dar-Tunduma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-110310.png
    Screenshot_20221120-110310.png
    220.6 KB · Views: 6
  • 20221120_110845.jpg
    20221120_110845.jpg
    92.6 KB · Views: 7
  • 20221120_110322.jpg
    20221120_110322.jpg
    97 KB · Views: 6
Kuna mnyama allys star ana mabasi kama 200 ya aina hii tena ni scania achana na hizi mchina yutong.
Huyo tuu ndio pekee anajitahidi kuwasitiri maana hata ukifuatilia discussions za ma admn walau wanasema anajitahidi..

Ila Bukoba msijali tunalawaletea hii Abood iliyokuwa Tunduma afu sie tunachukua chuma mpya 😆😆.

BK kenueni meno ndege zitawamaliza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-111922.png
    Screenshot_20221120-111922.png
    185 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221120-095336.png
    Screenshot_20221120-095336.png
    141.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-110459.png
    Screenshot_20221120-110459.png
    157.4 KB · Views: 8
Hizo ni za arusha, mwanza hakuna mabasi ya kishamba hivyo.
😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁🤸🤸🤸🤸🤸

🏃🏃🏃 Umeanza kuzikana Kama Simba kumkana kocha muuza ndaga ..

Ally Star unaemsifia huyu hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-110619.png
    Screenshot_20221120-110619.png
    168.4 KB · Views: 6
Yaani haya mabasi ya Premier Mbeya-Mwanza ndio mabaya lakini ndio makali kwa Mwanza 😁😁..

Huyu nae anasubiria Barabara ya Tabora-Mbeya ikamilike ashushe Mineso maana watu wa Mbeya huwa hatupandi mapipa ya hovyo..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-114454.png
    Screenshot_20221120-114454.png
    145.2 KB · Views: 7
  • 20221120_114428.jpg
    20221120_114428.jpg
    114.7 KB · Views: 6
  • 20221120_114430.jpg
    20221120_114430.jpg
    60.9 KB · Views: 5
Huyo tuu ndio pekee anajitahidi kuwasitiri maana hata ukifuatilia discussions za ma admn walau wanasema anajitahidi..

Ila Bukoba msijali tunalawaletea hii Abood iliyokuwa Tunduma afu sie tunachukua chuma mpya 😆😆.

BK kenueni meno ndege zitawamaliza 👇
Songoro kashusha mizigo ya kuelekea bukoba kutoka Mwanza nyie endeleeni na viswaswadu vyenu vya mabasi.
 
Songoro kashusha mizigo ya kuelekea bukoba kutoka Mwanza nyie endeleeni na viswaswadu vyenu vya mabasi.
Endeleeni kuogelea Kama viboko kwenye maji ,tuacheni na mabusi..

Hii hapa inaingia Mwakani route ya Dar-Mbeya-Tunduna-Lusaka usije kusema sijakuambia..

Soma sifa zake hapo.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-111549.png
    Screenshot_20221120-111549.png
    139 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-111624.png
    Screenshot_20221120-111624.png
    187.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-111635.png
    Screenshot_20221120-111635.png
    116.8 KB · Views: 5
Matajiri wetu wa Kusini Kama Bw.Msigwa amewaonea huruma baada ya kuona mkihangaika na usafiri..

Amewaletea vyuma Bora kabisa ili mpgie na picha..Superfeo/Selous Express unqchagua rangi mwenyewe 🏃🏃🏃🏃..

Mwanza-Songea 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-114340.png
    Screenshot_20221120-114340.png
    175.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-093852.png
    Screenshot_20221120-093852.png
    180.5 KB · Views: 6
  • 20221120_094001.jpg
    20221120_094001.jpg
    360.3 KB · Views: 5
  • 20221120_093654.jpg
    20221120_093654.jpg
    232 KB · Views: 6
  • 20221120_093948.jpg
    20221120_093948.jpg
    622.6 KB · Views: 7
  • 20221120_093935.jpg
    20221120_093935.jpg
    90.8 KB · Views: 7
  • 20221120_094028.jpg
    20221120_094028.jpg
    348.6 KB · Views: 7
  • 20221120_093616.jpg
    20221120_093616.jpg
    365 KB · Views: 7
Back
Top Bottom