Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Kama kanda nzima ya nyanda za juu kusini mna shule saba ya magorofa basi kutakuwa na shida sehemu.Huna takwimu utaishia kupanic bure, Tunduma sio size ya Kahama..
Item 2 tuu umeshindwa kuleta,nikikutegea ujifanye kuleta shule za ghorofa ungeaibika tunazo zaidi ya 7..
Kwenye Afya ndio usiseme.

