much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,066
- 21,542
Tatizo katika hao 90 wenye ukimwi ni 85Njombe hakuna tatizo la mbususu,ziko bwerere![]()
Tatizo katika hao 90 wenye ukimwi ni 85Njombe hakuna tatizo la mbususu,ziko bwerere![]()
Ngoja tuone takwimu maana kinachoonekana Ni tofauti kabisa na kilicho tegemewa Kuna halmashauri zipo Moto balaa hasa hiz tatu njombe DC makambako tc na wangingombe DCKahama kwa Njombe ni Kijiji,Idadi ya Maghorofa tupo sawa na Shinyanga wakati huo huo 3/4 ya magorofa ya Mkoa wa Njombe yako Mjini Njombe robo iliyobakia ndio Halmashauri zingine wamegawana.
Kwa Shy sasa nusu ya magorofa yako Shinyanga MC na yaliyobakia zimegawana Halmashauri zingine ikiwemo Kahama 😁😁
Kwa hiyo chapisho la sasa halioneshi idadi ya watzn?
Aliyemuelewa huyu Mkurugenzi anisaidie.
Kwani uwingi au uchache wa watu unafaida Gani ikiwa hao watu hawana skills.Kuna vinchi vinawatu laki tatu lakini GDP,Human development index na skills wanatuzidi.
Wewe unaangalia mji Moja tu wenzako wameangalia mkoa mzima.Hizi takwimu zinafanya nisiamini ata matokea ya sensa hii.
Nenda Njombe zunguka week ukiikuta nitafuteNyanda za juu mko wachache ila ndo mmejaza nyumba za tope mijini zisizo na mpangilio
Hatugawi watu pekee Bali tunagawa ukubwa wa eneo,nature of Terrain na Potential ya eneo GDP na kusogeza huduma zaidi.Yaani waliiacha kuigawa tabora yenye watu zaidi ya milioni 3 .wakaenda kugawa iringa ,matokeo yake mkoa mzima wa njombe una watu sawa na wilaya ya sengerema...
Kahama inatakiwa iunganishwe na nzega ,urambo ,ushetu ,na msalala watengeneze mkoa Mpya ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mara nyingi huwa nakwambia hunaga akili..Kwa baadae kahama nahisi itakuja kumegwa pamoja na maeneo ya tabora kutengeneza mkoa
Hivyo vigezo umevitoa wapi ..... morogoro mbona Ina milima mingi na bado haijagawa.....Hatugawi watu pekee Bali tunagawa ukubwa wa eneo,nature of Terrain na Potential ya eneo GDP na kusogeza huduma zaidi.
Mawilaya ya huko Tabora mengi ni tambarare na yamejee wavivu kama wewe..
Mwisho kabla ya kugawa ,Iringa ilikuwa kubwa kuliko Tabora.
Ukiangalia hii idadi ya Magorofa ukalinganisha ukongwe na ukubwa wa mkoa kijiografia utagundua kuwa Njombe inapiga maendeleo kwa Kasi sana.Kwenye mikoa mikongwe Magorofa mengine ni ya NHC yaliyojengwa miaka Mingi sana kwenywe makao makuu ya mikoa.Njombe ndio mkoa wenye eneo dogo kabisa Tanzania ukiondoa mikoa ya Zanzibar lakini Ina Magorofa mengi kwa uwiano wa idadi ya makazi na Magorofa karibia asilimia ishirini yapo vijijini.We are in the right direction.
Kijiji chetu kina Magorofa manne japo ni ya shirika😄😄Ukiangalia hii udadi ya Magorofa ukalinganisha ukongwe na ukubwa wa mkoa kijiografia utagundua kuwa Njombe inapiga maendeleo kwa Kasi sana.Kwenye mikoa mikongwe Magorofa mengine ni ya NHC yaliyojengwa miaka Mingi sana kwenywe makao makuu ya mikoa.Njombe ndio mkoa wenye eneo dogo kabisa Tanzania ukiondoa mikoa ya Zanzibar lakini Ina Magorofa mengi kwa uwiano wa idadi ya makazi na Magorofa karibia asilimia ishirini yapo vijijini.We are in the right direction.
Hivyo ndio vigezo rasmi vya siku zote .Hivyo vigezo umevitoa wapi ..... morogoro mbona Ina milima mingi na bado haijagawa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Njombe watu wanapesa ,magorofa sio kesi..Kijiji chetu kina Magorofa manne japo ni ya shirika😄😄
Then shinyanga apewe Kwimba na baadhi ya maeneo ya Usagara ili Kutengeneza Metropolitan City nzur kwa upande wa MwanzYaani waliiacha kuigawa tabora yenye watu zaidi ya milioni 3 .wakaenda kugawa iringa ,matokeo yake mkoa mzima wa njombe una watu sawa na wilaya ya sengerema...
Kahama inatakiwa iunganishwe na nzega ,urambo ,ushetu ,na msalala watengeneze mkoa Mpya ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unakosea! Mwanza itakuwa tam zaidi njia nne mpaka mwanangwa zitakapokamilika! Mwanza ibaki kama ilivyo!Then shinyanga apewe Kwimba na baadhi ya maeneo ya Usagara ili Kutengeneza Metropolitan City nzur kwa upande wa Mwanz
Basi waboreshe adi uko KwimbaHapo unakosea! Mwanza itakuwa tam zaidi njia nne mpaka mwanangwa zitakapokamilika! Mwanza ibaki kama ilivyo!
Sasa mbona kutoka ngara kwenda bukoba ni km 300 na kutoka nyakanazi hadi Bukoba ni km 350...na ni mkoa mmoja...Wewe mara nyingi huwa nakwambia hunaga akili..
Sasa ukitoa Kahama ikawa Mkoa kwa Hiyo Shinyanga itakuwa nini sasa? Maana Wilaya zote za Za Mkoa wa Shinyanga ziko upande wa Kahama huko..
Kuongezeka kwa idadi ya watu sio kigezo cha kugawa Mkoa bali hadhi ya Mji kukua na kuongeza ngazi za chini kama Halmashauri mpya nk..
Ingekuwa hivyo basi kila Wilaya ya Dar ingekuwa Mkoa sasa..
Shinyanga itabakia hivyo hivyo hadhi ya Mji inaweza badilikuwa kuwa na Jiji au Halmashauri zingine..
Kigezo kikubwa cha kugawa Mkoa ni geografia ya eneo na nature of Terrain..
Ndio Maana Njombe ilimegwa kutoka Iringa kwa sababu kutoka Makambako kwenda Iringa Mjini ni zaidi ya km 100 hapo bado hujataja Njombe,Makete na Ludewa..
Hivyo hivyo Kwa Geita,Manyara na Katavi.Mfano kutoka Mpanda ambao ndio mkoa wa Katavi hadi Sumbawanga ni km 245.
Kwa muktadha huo basi Mikoa itakayogawanywa ni Tabara, Morogoro,Ruvuma na Lindi..
Chato haina vigezo bali ni upuuzi na ubinafsi wa Mwendazake.
Yan hii mikoa inazidi Dar kwa idadi ya shule za msingi...Hivyo ndio vigezo rasmi vya siku zote .
Swala la Morogoro halina tofauti na Tabora..
Unfortunately hapa Tanzania mambo ya mgawanyo wa kimaeneo yanategemea fadhila hata kama yana vigezo..
Kwa hiyo kama hamna wakubwa wa ku push mtaendelea kupiga miayo hivyo hivyo..
Kwa Taarifa Yako Tanga na Pwani wanataka Mikoa nao,ndio kusema Rais Samia angekuwa anapenda hayo makitu angeshayagawa hayo maeneo kuanzisha Mikoa mipya maana Wana watu wa ku push..
Shule za msingi za Dar ni kama minada, watoto wanarundikwa tu. Kukuta shule ina wanafunzi 1500, 2,000/- kawaida tuYan hii mikoa inazidi Dar kwa idadi ya shule za msingi...
Kagera elimu inazidi kukomaa siku hadi siku...nadhani na takwimu za wajinga kwa mkoa wa kagera itakuja kusoma sifuri one dayView attachment 2404706View attachment 2404707