Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivyo ndio vigezo rasmi vya siku zote .

Swala la Morogoro halina tofauti na Tabora..

Unfortunately hapa Tanzania mambo ya mgawanyo wa kimaeneo yanategemea fadhila hata kama yana vigezo..

Kwa hiyo kama hamna wakubwa wa ku push mtaendelea kupiga miayo hivyo hivyo..

Kwa Taarifa Yako Tanga na Pwani wanataka Mikoa nao,ndio kusema Rais Samia angekuwa anapenda hayo makitu angeshayagawa hayo maeneo kuanzisha Mikoa mipya maana Wana watu wa ku push..
Naam kagera ipo top Five kwa idadi ya majengo


Sasa hayp majengo sio kwamba yapo kwenye mji mdogo kama Bukoba...la asha yapo huko vijijini na majumba na majumba...

Screenshot_20221101-100207.jpg
 
Fact mkoa wa njombe ukifatilia population projection ya 2019 utaona kwamba Kuna baadhi ya maeneo Yana maeneo makubwa population ndogo Sana ukiangalia ludewa ,makete ,na njombe mji Ni halmashauri zenye maeneo makubwa laki Ni mapori tofauti na njombe DC makambako tc na wangingombe haya maeneo yameubeba mkoa kwa uwingi wa makazi na population zaidi ya nusu ya wakaz wa mkoa wapo halmashauri hizo labda ufunguz wa barabara na mgodi unaweza kuongeza watu tusubir ila kijiografia bado ngumu hayo maeneo Yana milima sana
Table2:NjombeRegionPopulationbyCouncil(Number)
Number
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
144,653
147,013
151,061
154,257
Wanging'ombeDC
176,425
180,561
184,262
187,928
MaketeDC
104,993
108,455
109,924
112,372
NjombeDC
92,670
95,507
96,818
99,040
LudewaDC
147,229
149,100
153,289
156,176
MakambakoTC
103,379
105,711
107,945
110,582
Total
769,349
786,347
803,299
Kuna baadhi ya mikoa ardhi ilindwe sana, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi tusiache watu wajenge hovyo ili tusije kosa vyakula baadae
 
Naam kagera ipo top Five kwa idadi ya majengo


Sasa hayp majengo sio kwamba yapo kwenye mji mdogo kama Bukoba...la asha yapo huko vijijini na majumba na majumba...

View attachment 2404708
Majengo yanaendana na idadi ya watu Sasa unatakaje Majengo yawe mengi kuliko watu Ili iwaje?

Mkoa wa Kigoma ndio una top ten ya idadi ya watu yet una majengo machache,huko kuna shida sana ya makazi bila shaka.
 
Shule za msingi za Dar ni kama minada, watoto wanarundikwa tu. Kukuta shule ina wanafunzi 1500, 2,000/- kawaida tu
Dar with all the resources wanashindwa kweli kujenga madarasa ya Maghorofa Ili ku accommodate watoto?

Nilishasema siwesi ishi sehemu yenye watu wamerundika hovyo kama huko kwenu,mara nyingi huduma huwa no horrible.
 
Yan hii mikoa inazidi Dar kwa idadi ya shule za msingi...


Kagera elimu inazidi kukomaa siku hadi siku...nadhani na takwimu za wajinga kwa mkoa wa kagera itakuja kusoma sifuri one dayView attachment 2404706View attachment 2404707
Lakini Mnaweza kuwa na shule nyingi kwa sababu mna eneo la kutosha kujenga shule ila wenzio wakawa na shule chache ila vyumba vingi vya madarasa hasa majengo yakiwa ya ghorofa.
 
Sasa mbona kutoka ngara kwenda bukoba ni km 300 na kutoka nyakanazi hadi Bukoba ni km 350...na ni mkoa mmoja...

Na hamtaki ziundiwe mkoa wake
Hapo kuna tatizo tena sio dogo..

Mkoa wa Chato si utachukua baadhi ya maeneo ikiwemo Nyakanazi au?

Pia how is terrain? Na Mwisho kama hakuna vigezo maalumu.vinavyotumiwa na Serikali kugawa maeneo basi hiyo ni shida..

Kama RCC ya Mkoa wa Kagera haijapendekeza kugawa Mkoa ujue hakuna shida maana sio tuu idadi ya watu na geografia vinahusika bali uwezo wa KiMapato wa Mkoa wenu..

Itakuwa ni aibu kugawa Mkoa afu mapato mnapata bil.3 kwa mwaka
 
Hapo kuna tatizo tena sio dogo..

Mkoa wa Chato si utachukua baadhi ya maeneo ikiwemo Nyakanazi au?

Pia how is terrain? Na Mwisho kama hakuna vigezo maalumu.vinavyotumiwa na Serikali kugawa maeneo basi hiyo ni shida..

Kama RCC ya Mkoa wa Kagera haijapendekeza kugawa Mkoa ujue hakuna shida maana sio tuu idadi ya watu na geografia vinahusika bali uwezo wa KiMapato wa Mkoa wenu..

Itakuwa ni aibu kugawa Mkoa afu mapato mnapata bil.3 kwa mwaka
Tayari kamati za ushauri za mikoa ya geita na mwanza zisharidhia kuundwa mkoa Mpya wa chato ,..Kwa mwanza kutoa wilaya ya buchosa kwenda geita ,na geita kuitoa wilaya ya chato na bukombe kwenda chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iringa ndio mkoa uko vizuri hata city centre ya Iringa kwa maoni yangu ni nzuri na iko organized tofauti na Mbeya.
Hongereni wana Iringa
Yap...hata mimi huko kusini...mji ninaoukubali ni iringa...ingawa vijijini huko kilolo, sijui iringa vijijini na mufindi ni majanga...kuna umaskini uliotukuka...kidogo mafinga...


IRINGA NI BORA KULIKO MBEYA...unaonekana mji kweli
 
Wameshindwa kujenga madarasa ya Maghorofa?
Sawa ni Dar...ndo kuna uchumi..


Lakin kuna sekta nyingine kama elimu ...mikoa mingine inaipita Dar mbali sana...wengi kwao dar...lakin wanasoma mikoani...

Dar inashida nyingi zaidi za kijamii kuliko mikoa mingi nchini..na kuna umaskini kwa walio wengi
 
Chato inaingilianaje na Ngara na Biharamulo?
Chato zamani ilikua kagera husisahau hilo...

Chato ilikuwa sehemu ya wilaya ya biharamulo kabla mkoa wa geita haujaundwa...

Ngara ni karibu na biharamulo...ambazo zote ziko mbali na Bukoba na ni lazima uvuke msitu wa burigi chato ndo uikute muleba
 
Back
Top Bottom