Ukitoa Dar giant wa siasa na wanaoamua ni kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na magharibi, nasubiri LNG na Mabomba ya gesi ikamilike huko nako makusanyo yapae juu, miradi ya kigoma ikiisha makusanyo yatakua maradufu, nasubiri ziwa nyasa miradi iishe mapato kusini yapae, Arusha wao tayari waongeze juhudi wafikie bilioni hata 700, Geita migodi izalishe zaidi mapato yapae juu, Dodoma huduma pekee itapandisha mapato mara dufu, Tanga bandari iishe mapato nayo yapae yaani Tanzania tusitegemee Dar pekee kwenye makusanyo uchumi na fursa zisambae ndio nchi itapiga hatua na kukimbia kimaendeleo