Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani dar ... imeporomoka Kwa kasi vibaya.kutoka kuwa na asilimia 10 ya watu wote Tanzania Hadi asilimia 8.7 ..Hali sio tete

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ni kwamba watu walikuwa wanahamia Dar Kwa sababu kulikuwa kunapatikana kila kitu sasa imekuwa tofauti..

So tuendako nao watategemea zaidi uzazi kwa ongezeko la watu na kwao uzazi ni mdogo so itaendelea kuporomoka zaidi next 10 years..

Hakuna Sababu ya kuhamia Dar Kwa sasa eti kutafuta Huduma za jamii.
 
???
PSX_20221031_145711.jpg

Sasa maeneo mengi ya vijiji yanakaribia huduma zote za kijamii, Umeme, maji, afya, huduma za kifedha baadhi usafiri wa uhakika. Bado maisha ni nafuu kuliko mjini kwa nini DAR? Mpango wa WB wa kufinance maendeleo ya miji yetu unalipa sasa.
 
Tabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vile View attachment 2403244

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba hii pdf please....

Sidhani kama mkoa wa kagera utatajwa maskini tena...maana walikuwa wanauhesabu una watu zaidi ya million 3.4 kwa takwimu zao...sasa 2.9m
 
Tabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vile View attachment 2403244

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Population nayo ni ya kujivunia kweli?

Afu unasema iko stagnant kiaje wakati watu Mbeya wameongezeka kutoka 1.7(2012) hadi 2.3 sawa na ongezeko la watu 600k,

Mwanza kutoka 2.7(2012) hadi 3.6 sawa na 900k sasa hiyo stagnant iko wapi?

Mbona Takwimu za Kila siku nilizokuwa naweka zilikuwa hivyo siku zote? Mfano hii ya mwaka 2021👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-194426.png
    Screenshot_20221031-194426.png
    62.8 KB · Views: 7
Hivi Population nayo ni ya kujivunia kweli?

Afu unasema iko stagnant kiaje wakati watu Mbeya wameongezeka kutoka 1.7(2012) hadi 2.3 sawa na ongezeko la watu 600k,

Mwanza kutoka 2.7(2012) hadi 3.6 sawa na 900k sasa hiyo stagnant iko wapi?

Mbona Takwimu za Kila siku nilizokuwa naweka zilikuwa hivyo siku zote? Mfano hii ya mwaka 2021
Huoni kagera hapo inakaribia million 3.4...
Wakati reality ni 2.9m...
 
Back
Top Bottom