Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe mara nyingi hunaga akili na hata shule ulikuwa kukamilisha vidato tuu..

Mikoa ya Kanda ya Ziwa ina Msongamano mkubwa sana wa watu ni kama mnaishi kwenye zizi badala ya nyumba..

Mfano Kwa Mwanza 3,690,000/868,000 Unapata uwiano wa nyumba moja inakaliwa na watu 4.25 wakati Kwa Mbeya 2,340,000/623,000 Unapata uwiano wa 3.75..

Sasa kwa hesabu hizo wapi wanaishi kwenye makazi ya tembe,tope na kwenye slums?

Tena baadhi ya mikoa yetu uwiano ni mdogo zaidi mfano Njombe tuna 3.1 kumaanisha we live in decent houses.
na dar je kwenye uwiano wa makazi umeiangalia acha kuiponda Mwanza tu.
 
Halafu takwimu za majengo yanayoendelea na ujenzi mwanza imeipiga chini Hadi dar 😄😄😄😄
 
Njombe mna nini lakini?
Screenshot_20221101-201218.jpg
 


TACTIC 26KM + 2KM fedha za mapato ndani ya Manispaaa

Bado kuna soko, stand 2 za bus

Kahama, Kahama, Kahamaa
Kahama inakua sana ,,,,tatizo barabara,,,,,ni wakati wa kurekebisha barabara ya isaka , barabara ya mwime mgodini , barabara ya masaki ,kuwekewa road light barabara ya tabora.....na barabara ya nyasubi kupitia mbulu Hadi mhongolo .maana ni itakuwa bypass ya magari yanayotaka kwenda mwakitolyo Hadi mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahama inakua sana ,,,,tatizo barabara,,,,,ni wakati wa kurekebisha barabara ya isaka , barabara ya mwime mgodini , barabara ya masaki ,kuwekewa road light barabara ya tabora.....na barabara ya nyasubi kupitia mbulu Hadi mhongolo .maana ni itakuwa bypass ya magari yanayotaka kwenda mwakitolyo Hadi mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufika 2025 wataongeza miradi mingine, mahitaji ya barabara Kahama mjini ni zaidi ya KM 70
 
Yaani waliiacha kuigawa tabora yenye watu zaidi ya milioni 3 .wakaenda kugawa iringa ,matokeo yake mkoa mzima wa njombe una watu sawa na wilaya ya sengerema...
Kahama inatakiwa iunganishwe na nzega ,urambo ,ushetu ,na msalala watengeneze mkoa Mpya ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani waliiacha kuigawa tabora yenye watu zaidi ya milioni 3 .wakaenda kugawa iringa ,matokeo yake mkoa mzima wa njombe una watu sawa na wilaya ya sengerema...
Kahama inatakiwa iunganishwe na nzega ,urambo ,ushetu ,na msalala watengeneze mkoa Mpya ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact mkoa wa njombe ukifatilia population projection ya 2019 utaona kwamba Kuna baadhi ya maeneo Yana maeneo makubwa population ndogo Sana ukiangalia ludewa ,makete ,na njombe mji Ni halmashauri zenye maeneo makubwa laki Ni mapori tofauti na njombe DC makambako tc na wangingombe haya maeneo yameubeba mkoa kwa uwingi wa makazi na population zaidi ya nusu ya wakaz wa mkoa wapo halmashauri hizo labda ufunguz wa barabara na mgodi unaweza kuongeza watu tusubir ila kijiografia bado ngumu hayo maeneo Yana milima sana
Table2:NjombeRegionPopulationbyCouncil(Number)
Number
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
144,653
147,013
151,061
154,257
Wanging'ombeDC
176,425
180,561
184,262
187,928
MaketeDC
104,993
108,455
109,924
112,372
NjombeDC
92,670
95,507
96,818
99,040
LudewaDC
147,229
149,100
153,289
156,176
MakambakoTC
103,379
105,711
107,945
110,582
Total
769,349
786,347
803,299
 
Ukubwa wa maeneo
Table1.1😀istributionofSurfaceArea,LandAreaandWaterAreabyDistrict/Council,Njombe
Region,2018
District/Council
LandArea
(sq.kms)
Percentof
LandArea
Water
Area
(sq.kms)
Percentof
Water
Area
Total
Surface
Area
(sq.kms)
Percentof
Surface
Area
NjombeTC
3,212
15.1
0
0
3,212
12.9
Wanging’ombeDC
3,344
15.7
226
6.1
3,570
14.3
MaketeDC
4,850
22.8
950
25.7
5,800
23.2
NjombeDC
2,706
12.7
447
12.1
3,153
12.6
LudewaDC
6,325
29.7
2,072
56.1
8,397
33.6
MakambakoTC
862
4.0
0
0
862
3.4
Total
21,299
100.0
3,695
100.0
24,994 yani halmashauri zenye maeneo makubwa hazina watu njombe tc ina 3212 kmsq ludewa Ina 6325 na Kuna makete 4880
 


TACTIC 26KM + 2KM fedha za mapato ndani ya Manispaaa

Bado kuna soko, stand 2 za bus

Kahama, Kahama, Kahamaa

Kahama kwa Njombe ni Kijiji,Idadi ya Maghorofa tupo sawa na Shinyanga wakati huo huo 3/4 ya magorofa ya Mkoa wa Njombe yako Mjini Njombe robo iliyobakia ndio Halmashauri zingine wamegawana.

Kwa Shy sasa nusu ya magorofa yako Shinyanga MC na yaliyobakia zimegawana Halmashauri zingine ikiwemo Kahama 😁😁
 
Back
Top Bottom