Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuongeza watu bila quality ni mzigo kwa taifa.Tunawashukuru Kanda ya ziwa kwa kufyatua kisawasawa lakini Sasa tuleteeni quality Sasa.Kanda ya ziwa unakuta watu wako 30 familia Moja na katika hao hakuna mtaalamu wa fani yoyote.Mbaya zaidi unawakuta wamejenga cottage Fulani za miti,mabati ya kuweka na mawe juu wanasubiri binti aolewe ndio wawe na utajiri wa Ng'ombe tu Taifa haliwezi Kupigia hatua hivi I'm sorry to say this,pelekeni Shule watoto na muuche kuozesha watoto.Tujivunie population lakini tuongeze quality.Njombe idadi ndogo lakini yenye impact.Kiuhalisia Njombe Ina watu wengi sema tumesambaa mikoa mbali mbali kukusanya Hela.
 
Hizi takwimu hizi🙄🙄🙄 ni hatari adi Tanga na kilimanjaro 😂😂😂😂 wakati Mwanza walishaacha kujenga nyumba za kawaida kitambo sana, maeneo kama capripoint, bwiru, nyasaka, kirumba, nyegezi n.k ni nyumba za ghorofa tu.
Wanafunzi wenyewe wanabadilishiwa matokeo
 
Kuongeza watu bila quality ni mzigo kwa taifa.Tunawashukuru Kanda ya ziwa kwa kufyatua kisawasawa lakini Sasa tuleteeni quality Sasa.Kanda ya ziwa unakuta watu wako 30 familia Moja na katika hao hakuna mtaalamu wa fani yoyote.Mbaya zaidi unawakuta wamejenga cottage Fulani za miti,mabati ya kuweka na mawe juu wanasubiri binti aolewe ndio wawe na utajiri wa Ng'ombe tu Taifa haliwezi Kupigia hatua hivi I'm sorry to say this,pelekeni Shule watoto na muuche kuozesha watoto.Tujivunie population lakini tuongeze quality.Njombe idadi ndogo lakini yenye impact.Kiuhalisia Njombe Ina watu wengi sema tumesambaa mikoa mbali mbali kukusanya Hela.
Nyanda za juu mko wachache ila ndo mmejaza nyumba za tope mijini zisizo na mpangilio
 
Idadi ya Watu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Tabora
4. Morogoro
5. Dodoma
6. Kagera
7. Geita
8. Tanga
9. Kigoma
10. Arusha

Nyanda za juu kusini hakuna top 10 hata mkoa mmoja...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
List hiyo hapo...
20221101_002818.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ule mjadala Mikoa mikubwa umefungwa rasmi.
Tuanze kujadili mengineyo sasa
 
Mkoa wa njombe ndo mkoa unaoendana vizuri na miundombinu yake anzia majengo huduma za afya nk sio mnakuwa wengi huduma hamna lazima mkoa uwe masikini tu
 
Attachments

  • FB_IMG_16672567741533766.jpg
    FB_IMG_16672567741533766.jpg
    24.3 KB · Views: 8
  • FB_IMG_16672380392987318.jpg
    FB_IMG_16672380392987318.jpg
    17.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom