Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yap...hata mimi huko kusini...mji ninaoukubali ni iringa...ingawa vijijini huko kilolo, sijui iringa vijijini na mufindi ni majanga...kuna umaskini uliotukuka...kidogo mafinga...


IRINGA NI BORA KULIKO MBEYA...unaonekana mji kweli
Iringa ina tofauti gani na Bukoba? Kamji kadogo tumajengo tuchache tumerundikana hapo Mjini kati..

Acha kulinganisha Mbeya na vitu vya Kijinga..

Mbeya gorofa 1073 vs Iringa 529 ,So usilinganishe Mbeya na vitu vya Kipuuzi 👇
 

Attachments

  • FB_IMG_16672378731384675.jpg
    FB_IMG_16672378731384675.jpg
    36.5 KB · Views: 9
Sawa ni Dar...ndo kuna uchumi..


Lakin kuna sekta nyingine kama elimu ...mikoa mingine inaipita Dar mbali sana...wengi kwao dar...lakin wanasoma mikoani...

Dar inashida nyingi zaidi za kijamii kuliko mikoa mingi nchini..na kuna umaskini kwa walio wengi
Huwa nashangaa watu wanaopigania kufanya maisha DAR, hasa wa vipato vya kuunga unga. Senior cetizen wengi wakistaafu maisha yao ni nje DAR. Ukitoa Mzee Mwinyi
 
Wakati Mwanza wakifurahie vile mnaita viwanda vikubwa vya kanjibai,huku Mbeya watu wanaingiza pesa kwa viwanda vidogo..

Hivi ndio viwanda vinatufanya Mbeya tuwe na GDP kubwa hapa Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221102-095105.png
    Screenshot_20221102-095105.png
    50.7 KB · Views: 8
  • 20221102_095206.jpg
    20221102_095206.jpg
    920.2 KB · Views: 9
  • 20221102_095200.jpg
    20221102_095200.jpg
    1 MB · Views: 7
  • 20221102_095203.jpg
    20221102_095203.jpg
    734.1 KB · Views: 8
  • 20221102_095210.jpg
    20221102_095210.jpg
    679.2 KB · Views: 7
Kanda ya Ziwa mumejitahidi kiasi kwa huduma za jamii ila kwa hiyo idadi yenu kubwa ya watu mtakuwa mnapata tabu Sana aisee kwa Msongamano.

Vituo vya kutolea huduma za afya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-221458.png
    Screenshot_20221101-221458.png
    63.6 KB · Views: 11
Then shinyanga apewe Kwimba na baadhi ya maeneo ya Usagara ili Kutengeneza Metropolitan City nzur kwa upande wa Mwanz
hatuwezi kuiachia kwimba wala buchosa miji si magorofa mkuu, kwimba ina mchango mkubwa sana kwa mkoa wa mwanza pia inaongeza gdp kupitia kilimo, ufugaji na mambo mengine, Mwanza ilishamegwa sana sasa imetosha na hatutakuwa tayari kuachia eneo lolote lile.
 
Kwa hiyo chapisho la sasa halioneshi idadi ya watzn?

Aliyemuelewa huyu Mkurugenzi anisaidie.
nilikuambia usije ukasikia katavi inaongoza kwa magorofa 40000 na Tanga ikiwa na magorfa 140, achana na hawa wanasiasa, mara unaambiwa idadi ya watu waliyoitoa si watanzania peke yao bali walihesabu adi wakimbizi 😂 😂 😂
 
Kuna baadhi ya mikoa ardhi ilindwe sana, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi tusiache watu wajenge hovyo ili tusije kosa vyakula baadae
HIi kitu nilishamwambia cost farasi kuwa mbeya hakuistahili kuitwa jiji, kuitwa jiji kulisababisha ujenzi holela sana mbeya adi mashamba ya mpunga na viazi yalivamiwa, kuvamiwa huku kwa mashamba hapo mbeya kutasababisha maeneo kwa ajili ya kilimo kupungua na kama mashamba yakipungua basi ata chakula nchini kitapungua, miji ya chakula ibaki kuwa miji ya chakula na hii natoa pia angalizo kwa mkoa wa Morogoro ubaki kuwa mji wa kuzalisha chakula, pia mbeya ivuliwe hadhi ya jiji na pia maeneo yatengwe kwaaajili ya mashamba.
 
Tayari kamati za ushauri za mikoa ya geita na mwanza zisharidhia kuundwa mkoa Mpya wa chato ,..Kwa mwanza kutoa wilaya ya buchosa kwenda geita ,na geita kuitoa wilaya ya chato na bukombe kwenda chato

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii buchosa hatuwezi kuiacha ata siku moja utawala wa Mwanza kwenye ziwa victoria utapungua sana, tumetoa busega bado na buchosa tena hii hatukubali.
 
Kwa population ya GEITA NA KAGERA.haiepukiki kuundwa mkoa Mpya ...Samia atake asitake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa kukatwa katwa sio suluhisho mkuu, tuunde tu utawala wa majimbo. Kama Chato wanataka mkoa basi waunde mkoa lakini usije ukahusisha kuchukua eneo la mwanza, ukiangalia ukubwa wa ardhi ukitoa eneo la maji Mwanza ni ya pili kwa udogo ukitoka Dar, ukiweka eneo la ziwa victoria Mwanza ni ya tatu kwa udogo ukitoka Dar na Kilimanjaro.
 
Mikoa kukatwa katwa sio suluhisho mkuu, tuunde tu utawala wa majimbo. Kama Chato wanataka mkoa basi waunde mkoa lakini usije ukahusisha kuchukua eneo la mwanza, ukiangalia ukubwa wa ardhi ukitoa eneo la maji Mwanza ni ya pili kwa udogo ukitoka Dar, ukiweka eneo la ziwa victoria Mwanza ni ya tatu kwa udogo ukitoka Dar na Kilimanjaro.
Hilo sharti lilitoka pamoja na ombi la kupewa wilaya ya kisesa....,,watu wa buchosa waliomba kuhamishiwa geita Kwa sababu ni km 58 tu tofauti na mwanza ni km 100 ... mwanza waliomba wilaya ya kisesa...Kwa hyo sharti ni kuwa mwanza watoe buchosa wapewe kisesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom