Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Fursa kwa ongezeko la magar tazam high way
FGf0t2aX0AEFTDk.jpg
sddefault.jpg
hqdefault.jpg
0C1A4698.JPG
 
Asaa kwani Njombe ina nn kuzidi Katoro Hosp au Ofisi za mkoa?
Toka tumeanza Uzi nilikwambia leta jengo la ghorofa 4 umeshindwa unakuja kulia lia na takataka hapa..

Njombe imepiga Kahama in and out,ina majengo zaidi ya 10 ya ghorofa kuanzia 5 na kuendelea Kahama haina..

Ina hospital ya Rufaa ya wiwango,Kahama ina kahospital uchwara,

Ina lami za mjini na mpangilio mzuri jijini,Kahama imejaa mavumbi tupu,

Ina viwanda kama vyote,

Ina stand kali Kahama ni zizi mnaita stand,

Ina soko la kali nyie bado mnauzia.minadani na kwenye mitaro ya barabara,

Haina Uswazi,Kahama imejaa maskini na uswazi,

Ina mandhari nzuri Sana ya kuvutia,Kahama iko disorganized utafikiri malisho ya ng'ombe,

Leta video ya Kahama tuone,Njombe hii hapa 👇
 

Attachments

  • The RICH PEOPLE Of Njombe Tanzania!! This Is TOO MUCH!! ( 144 X 256 ).mp4
    18.3 MB
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Ukiona Daudi na Goliati wanawekwa kwenye mizania sawa basi ujue Goliati kisha chujuka. Njombe ni mkoa, Kahamani makao makuu ya mkoa wa Shinyanga wakati Mafinga ni makao makuu ya wilaya ya Mufindi. Kwa mantiki hii Mafinga unakua kwa kasi na huo ndiyo ukweli. Mji wa Iringa ulianzishwa mwaka 1892 na Wajerumani kama strategic point ya kutwangana na Wahehe. Mahala ulipo mji huu hauwezi kupanuka kwa sababu za kijiografia.
 
Back
Top Bottom