Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Umeshindwa kuleta data,naomba data zinazoonesha Mwanza airport Ina runway ya zaidi ya mita 3300 ndio tuendelee na mengine,kama huna shut up your mouth Songwe sio level ya Mwanza.
Hapa Tanzania hakuna uwanja wa ndege wenye runway ndefu kuzidi uwanja wa ndege wa Mwanza wenye 3.8km kizidi ata JNIA, kaa kwa kutulia mkulungwa Huyo huwanja upande wa runway hauna mashindani labda majengo tu ya abiria ndio tia maji tia maji.
 
Soma hii wewe mtu wa njombe nikutoe tongotongo
Screenshot_20220825-203623.png
 
hivi tofauti ya mbeya na kahama ni nn aisee..kama ndo jiji hili kweli serikali walifeli pakubwa..kutoa hadhi ya jiji .Mara mia wangeipa morogoro au iringa.jiji ni chafu tunyumba tumerundikana sehemu moja ..mji ukisimama unaona unapoishia aibu tupu
 
Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
 
CBD ina majengo mazuri ya kuhesabu, hii city center yao haiwezi kufikia Nyegezi wala buzuruga.
 
Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
Ni aibu tupu ..then ndo utawakuta wao ndo wa kwanza kuipondea dodoma eti magu kaipendelea ...Mara elfu dodoma deserved a city status earlier than mbeya
 
emoji706.png
emoji706.png
emoji706.png
emoji14.png

Unajikosha tuu hapa kwa wivu,kwanza hiyo video ni ya long Wala haija cover Mbeya bali imepigwa hapo Mwanjelwa hadi hapo junction ya Mafiat tuu..

Kama unaona mwisho wa Mji nionyeshe Meta ilipo na unionyeshe forest au Uyole au Uhindini..

Mbeya sio kama tumijo uchwa ulitotutaja hapo twa Morogoro,Iringa na huo uchafu wa Kahama kwamba imerundikana eneo moja.

Jumlisha hao wote Kwa pamoja ndio unaweza pata Mbeya moja..

Kahama ligi yenu ni Njombe,huko kwa Mbeya ni mbali Sana..Ukikuta jengo kama hili hapa Kahama nzima hadi Bukoba nahama jukwaa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20210806-204620.png
    Screenshot_20210806-204620.png
    231.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210806-211204.png
    Screenshot_20210806-211204.png
    169.8 KB · Views: 11
Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
Hapa wivu ndio unafanya Kazi 🤣🤣🤣..

Hiyo video yenu imeishia hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20210807-062944.png
    Screenshot_20210807-062944.png
    326.6 KB · Views: 13
  • 2940500_tzcucom-___CP4r_ptNOB5___-.jpg
    2940500_tzcucom-___CP4r_ptNOB5___-.jpg
    69.2 KB · Views: 12
CBD ina majengo mazuri ya kuhesabu, hii city center yao haiwezi kufikia Nyegezi wala buzuruga.
We kenge acha ujinga,hiyo video inaonyesha sehemu ndogo Sana ya Jiji la Mbeya yaani hapo Mwanjelwa na Mafiati tuu..

Mwisho Mbeya ni kama Dar ina CBD 2 za Mwanjelwa na Sokomatola/Uhindini..
 
Hapo ndo mjini kwao sasa..
Kwa.mujibu wa ujinga wako hiyo ndio Mbeya yote si ndio? Kama ndivyo nionyeshe haya majengo hapa chini kwenye hiyo video uchwara yako👇
 
Attachments

  • Screenshot_20210906-201313.png
    Screenshot_20210906-201313.png
    146.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20210908-223150.png
    Screenshot_20210908-223150.png
    218.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210908-223940.png
    Screenshot_20210908-223940.png
    147.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210807-063005.png
    Screenshot_20210807-063005.png
    443.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210804-230500.png
    Screenshot_20210804-230500.png
    284.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20210804-224127.png
    Screenshot_20210804-224127.png
    227.8 KB · Views: 13
  • 2940501_jr_sports_tz-___CRcAdcUroHE___-.jpg
    2940501_jr_sports_tz-___CRcAdcUroHE___-.jpg
    117.9 KB · Views: 11
  • 2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg
    2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg
    107.2 KB · Views: 12
  • 2940495_grcityhotelmbeya-___CO1rhybhDdm___-.jpg
    2940495_grcityhotelmbeya-___CO1rhybhDdm___-.jpg
    45 KB · Views: 15
Ni aibu tupu ..then ndo utawakuta wao ndo wa kwanza kuipondea dodoma eti magu kaipendelea ...Mara elfu dodoma deserved a city status earlier than mbeya
Wakati wivu ukiendelea kukutafuna,meanwhile Mbeya kunzadi kukucha idadi ya Abiria inazidi kuongezeka 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-150309.png
    Screenshot_20220826-150309.png
    106.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220826-150332.png
    Screenshot_20220826-150332.png
    132.1 KB · Views: 13
Haters mnakaribishwa huku Ili mzidi kupata kutu kwa wivu..

Uimarishaji wa reli ya Tazara Mbeya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-150210.png
    Screenshot_20220826-150210.png
    140.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220826-115635.png
    Screenshot_20220826-115635.png
    224.8 KB · Views: 11
Sumbawanga Town RC Cathedral 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-131232.png
    Screenshot_20220826-131232.png
    120.5 KB · Views: 11
  • IMG_20220826_130633_484.jpg
    IMG_20220826_130633_484.jpg
    851.1 KB · Views: 9
  • IMG_20220826_130628_897.jpg
    IMG_20220826_130628_897.jpg
    833.4 KB · Views: 9
  • IMG_20220826_130629_341.jpg
    IMG_20220826_130629_341.jpg
    828.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom