Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Haya mambo unayopost yanapatika muleba huko vijijini wala sio mjini..na kuna mandhari nzr kuliko hii yako ya vumbi..


Imagine huku ni vijijini huko Bukoba View attachment 2336341View attachment 2336342View attachment 2336343View attachment 2336345View attachment 2336346View attachment 2336347

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ingekuwa Bukoba wangeita Hotel ya Nshomile mmja hapo Mjini 😁😁.

Ila kwa Sumbawanga hili ni bweni la shule inayomilikiwa na RC chini ya shirika lao la Wabenedictine wa Mvimwa👇
 

Attachments

  • IMG_20220827_153936_376.jpg
    IMG_20220827_153936_376.jpg
    792.2 KB · Views: 6
  • IMG_20220827_154224_528.jpg
    IMG_20220827_154224_528.jpg
    922.6 KB · Views: 6
We kijana ni mbishi sana....

Hapo kunapojengwa chuo kikuu sio mbali na Bukoba mjini ni km kama 5...

Can't wait kuone mji wa Bukoba unapanuka kila sehemu...

Imagine Kasikazini mwa mji wa Bukoba kuna chuo cha veta kikubwa zaidi Tanzania..kimejengwa na wachina..Na huko pia kuna chuo kikuu cha JOCUCO tawi la chuo cha tumaini....


Mashariki kuna Bandari ya Bukoba ambayo nayo imepanuliwa ikisuburi meli ya Mv mwanza na sasa kuna mv Victoria,nyakibolwa nk zinafanya kazi...bado mashariki hiyo hiyo kuna uwanja wa ndege wa bukoba ambao nao unawekewa Taa ilo ndege zianze kutua usiku...

Magharibi mwa mji wa bukoba kuna ujenzi wa stendi ya mkoa kyakairabwa na huko ndo kumekucha sasa maana kuna mji mpya wa Rwamishenye unaokua kwa kasi..

Kusini mwa mji wa Bukoba ndo kuna ujenzi wa chuo kikuu UDSM na bado kuna Tawi la Chuo kikuu cha Sauti CARUMCO na sasa kunajengwa maegesho makubwa sana ya maroli...


Hio Bukoba achaneni nayo tu...mji una future kali sana..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe Mzee bwana huwa unachelesha Sana sijui ndio uzee au Nini hasa? Hivi Chuo kujengwa na Mchina ndio inakuwa chuo Kikubwa kuliko vyote Tanzania?

Kwa hiyo like Chuo Cha Veta ambacho kikikuwa kinajengwa na Wachina kabla Ndalichako hajawatimua pale Sumbawanga ni chuo Kikubwa kuliko vyote Kisa Mchina ndio mkandarasi? 😝😝.

Mzee leta hoja zenye mashiko acha kuleta vioja..Kuhusu Vyuo Vikuu Wala usijari , Serikali inatekeleza mpango unaitwa HEET ambao unajenga Campuses za vyuo vikuu kwenye Mikoa yote ambayo haina hizo campus,hiyo Kagera ni sehemu ya huo mpango..

Project ina zaidi ya Bil.970 chini ya World Bank na inatekeleza kwa miaka 5..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220827-162020.png
    Screenshot_20220827-162020.png
    80.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220827-162322.png
    Screenshot_20220827-162322.png
    49.3 KB · Views: 6
Ingekuwa Bukoba wangeita Hotel ya Nshomile mmja hapo Mjini .

Ila kwa Sumbawanga hili ni bweni la shule inayomilikiwa na RC chini ya shirika lao la Wabenedictine wa Mvimwa
Ila huko kuna vumbi sana walai
Umenikumbusha kakonko huko kigoma kwenye kambi ya JKT...

Mnatia aibu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ila huko kuna vumbi sana walai
Umenikumbusha kakonko huko kigoma kwenye kambi ya JKT...

Mnatia aibu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We boya kweli kuna Mji gani hapa Tanzania ambao una lami kila mtaa?..Kwamba unashangaa Vumbi Tanzania?

Hii ni hospital ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa lakini hakuna lami Wala maua kwenye viunga Wala pavement 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220818-154154.png
    Screenshot_20220818-154154.png
    169.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220808-081558.png
    Screenshot_20220808-081558.png
    125.2 KB · Views: 6
Toka tumeanza Uzi nilikwambia leta jengo la ghorofa 4 umeshindwa unakuja kulia lia na takataka hapa..

Njombe imepiga Kahama in and out,ina majengo zaidi ya 10 ya ghorofa kuanzia 5 na kuendelea Kahama haina..

Ina hospital ya Rufaa ya wiwango,Kahama ina kahospital uchwara,

Ina lami za mjini na mpangilio mzuri jijini,Kahama imejaa mavumbi tupu,

Ina viwanda kama vyote,

Ina stand kali Kahama ni zizi mnaita stand,

Ina soko la kali nyie bado mnauzia.minadani na kwenye mitaro ya barabara,

Haina Uswazi,Kahama imejaa maskini na uswazi,

Ina mandhari nzuri Sana ya kuvutia,Kahama iko disorganized utafikiri malisho ya ng'ombe,

Leta video ya Kahama tuone,Njombe hii hapa 👇
Wakati mgonjwa anajihisi kupona kumbe ndo kwanza anakufa
 
Ni lini Mwanza itapata route ya Tanga?

Mbeya to Tanga 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-133628.png
    Screenshot_20220826-133628.png
    231.1 KB · Views: 7
Ina eneo kubwa la kukusanya mapato kuzidi hapo Ilemela..

Mwaka huu mtapigwa mbali zaidi maana ushuru wa parking ya magari umerudi Halmashauri na magari Mengi yapo njia yetu ya TANZAM
Eneo gani unazungumzia, Acha ushamba ilemela inatandika hicho kijiji cha wakulima
 
Back
Top Bottom