Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Actually Mbeya ni mji wa kawaida sana huwezi fananisha na Mwanza zamani nilikua nasikia Mbeya kuzuri nikawa na hamu ya kufika, siku nafika Mbeya nilishangaa sana kuona mji mbovu
Unajikosha tuu hapa kwa wivu,kwanza hiyo video ni ya long Wala haija cover Mbeya bali imepigwa hapo Mwanjelwa hadi hapo junction ya Mafiat tuu..

Kama unaona mwisho wa Mji nionyeshe Meta ilipo na unionyeshe forest au Uyole au Uhindini..

Mbeya sio kama tumijo uchwa ulitotutaja hapo twa Morogoro,Iringa na huo uchafu wa Kahama kwamba imerundikana eneo moja.

Jumlisha hao wote Kwa pamoja ndio unaweza pata Mbeya moja..

Kahama ligi yenu ni Njombe,huko kwa Mbeya ni mbali Sana..Ukikuta jengo kama hili hapa Kahama nzima hadi Bukoba nahama jukwaa
 
Actually Mbeya ni mji wa kawaida sana huwezi fananisha na Mwanza zamani nilikua nasikia Mbeya kuzuri nikawa na hamu ya kufika, siku nafika Mbeya nilishangaa sana kuona mji mbovu
Tatizo lenu mumezoea kuishi kwenye miji iloyorundikana pale CBD lakini Miji iliyotawanyika kama Mbeya,Dodoma lazima mshangae..

Mwisho Mbeya ya Leo Sio ya Jana au juzi,saizi Jiji ni kubwa na ni huge construction site kuanzia Uyole hadi Mbalizi kote huko Nyumba mpya zinasimama kila kukicha za serikali na za private sector..

Kila baada ya Mwaka uwe unakuja maana Mbeya Kwa sasa inabadilika na inakua vizuri sana tofauti na miaka 5 ya mwanzo ilipotangazwa kuwa Jiji..
 
Hili eneo Haliwezi fikia hata Buzuruga
Weka picha za hapo Buzuruga pako acha porojo..

Baadhi ya Nyumba za Makazi Jijini Mbeya,Kwa Kahama hizi ni hoteli 😬😬 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-164126.png
    Screenshot_20220826-164126.png
    218.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220826-163247.png
    Screenshot_20220826-163247.png
    173.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220826-163507.png
    Screenshot_20220826-163507.png
    130.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-163414.png
    Screenshot_20220826-163414.png
    127.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-163654.png
    Screenshot_20220826-163654.png
    183.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-164042.png
    Screenshot_20220826-164042.png
    218.7 KB · Views: 7
Tatizo lenu mumezoea kuishi kwenye miji iloyorundikana pale CBD lakini Miji iliyotawanyika kama Mbeya,Dodoma lazima mshangae..

Mwisho Mbeya ya Leo Sio ya Jana au juzi,saizi Jiji ni kubwa na ni huge construction site kuanzia Uyole hadi Mbalizi kote huko Nyumba mpya zinasimama kila kukicha za serikali na za private sector..

Kila baada ya Mwaka uwe unakuja maana Mbeya Kwa sasa inabadilika na inakua vizuri sana tofauti na miaka 5 ya mwanzo ilipotangazwa kuwa Jiji..
Huoni aibu kutetea mbeya .jiji chafu vijengo vya kuokoteleza hapo uhindini
 
Ilemela ndo size yenu.....mbeya aisee bado sana.....
Hii ni mitaa ya ilemela.. buzuruga,kiseke,Ghana ,na makongoro .....sasa CBD nzima huwezi pata miundombinu na mwonekano safi kama huu ...
20220826_202658.jpg
20220821_072204.jpg
20220807_225147.jpg
JamiiForums1293826577.jpg
JamiiForums2002904376.jpg
 
Haters wa Kanda ya ziwa ....this is loading speedy ...kaeni tayari Kwa maumivu
IMG_20220725_221110.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-220721.png
    Screenshot_20220826-220721.png
    106.7 KB · Views: 11
  • Mbeya-town-806x440.jpg
    Mbeya-town-806x440.jpg
    47.2 KB · Views: 12
Back
Top Bottom