Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Iringa Town-Nyanda za Juu kusini

PicsArt_03-13-04.56.45.jpg
 
Je Kahama ni Mji mzuri au Mji mkubwa?
Yote kwa pamoja, Kahama ilianza kuchangamka kitambo sana sababu ya dhahabu, Njombe imeanza kufunguka hivi juzi juzi tu baada ya miundombinu ya barabara kuboreshwa....Halafu Njombe wageni wachache sababu ya ushirikina, kibiashara njombe ni pagumu sana kwa wageni kufanikiwa,, Ndio maana wamejaa wenyeji tu wabena na wakinga...Kahama wageni wengi sana na ndio hao wanaoleta maendeleo
 
Kahama ina uzuri 🤣🤣,hata hoteli hamna
 
Kuweni serious basi hata kwa wiki moja tu
Mama samia jana alimwambia mkuu wa mkoa mpya wa njombe aende akapambane na utapiamlo kwenye huo mkoa kwani unaongoza Tanzania nzima ingawa wanalima mazao ya chakula.
 
Hivi Ni viwanda vinavyo deal na mambo ya hardware. Vinatanuliwa Kila siku product zinazidi kuongezeka vipo ndani ya mji was makambako mkoani njombe
IMG_20220219_154031~3.jpg
 
Back
Top Bottom