Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Soon mapato yataongezeka sana viwanda vingi vya kuchakata parachichi na singbord ndo vimeanza kazi mwezi wa Kwanza ko tarajia kuona ongezeko kubwa la kimapato ko parachichi zote za mkoa wa njombe na wilaya ya mufindi zinaenda makambako ndo centre vvilipojengwaa
 
Viwanda havinaga impacts kubwa Sana kwenye Halmashauri labda TRA huko,kwa mfano usitegemee parachichi ikichajiwa ushuru kutoka Shambani itakuja tena kuchajiwa hapo na Halmashauri bali TRA kwa value addition.

Halmashauri hapo watapata ushuru wa usafi,service levy labda na leseni tuu,kwa hiyo bado impacts kwa Mji itakuwa ndogo sio kubwa kivile but ni hatua nzuri.
 
Soon mapato yataongezeka sana viwanda vingi vya kuchakata parachichi na singbord ndo vimeanza kazi mwezi wa Kwanza ko tarajia kuona ongezeko kubwa la kimapato ko parachichi zote za mkoa wa njombe na wilaya ya mufindi zinaenda makambako ndo centre vvilipojengwaa
Singboard au ceilingboard?
 
Kahama!!!!!😊😊😊😊
1644131579329.png

1644131618700.png
 
Inategemea na eneo litakalojengwaa ka likijengwa katikati ya mjii litakuwa na manufaa zaidi ka la makambako ni pale pale mjini kwaiyoo hata likikamilikaa litakua na wafanyabiashara wa kutoshaa. Na nimesikia ni gorofa mbili kwaiyoo floo ya pili zinaweza kuwa stoo au kumbi za mikutano na floo ya kwanza na ya chini ni maduka kwa ajili ya wafanyabiashara ilaa ka wakijenga zaidi ya floo 3 itakua ka machinga complex Hamna kitu paleee labda juuu waweke hotel
Ila Makambako mnatuaibisha Sana yaani Mji mzima mnakusanya vimapato kiduchu kama Ludewa DC?
 
Soon mapato yataongezeka sana viwanda vingi vya kuchakata parachichi na singbord ndo vimeanza kazi mwezi wa Kwanza ko tarajia kuona ongezeko kubwa la kimapato ko parachichi zote za mkoa wa njombe na wilaya ya mufindi zinaenda makambako ndo centre vvilipojengwaa
Mapato yataongezekaa tuu makambako s Ina eneo dogoo kwaiyoo inahitaji miradi ka viwanda na masoko makubwa kwaajili ya biashara ivyo vikikaa sawa mapato yataongezekaa kwasababu population nayoo inakua kwa kasi
 
Inategemea na eneo litakalojengwaa ka likijengwa katikati ya mjii litakuwa na manufaa zaidi ka la makambako ni pale pale mjini kwaiyoo hata likikamilikaa litakua na wafanyabiashara wa kutoshaa. Na nimesikia ni gorofa mbili kwaiyoo floo ya pili zinaweza kuwa stoo au kumbi za mikutano na floo ya kwanza na ya chini ni maduka kwa ajili ya wafanyabiashara ilaa ka wakijenga zaidi ya floo 3 itakua ka machinga complex Hamna kitu paleee labda juuu waweke hotel
Hao wafanyabiashara watatoka wapi tofauti na waliopo sasa? Unahamisha sehemu y kuwapeleka sehemu x..

Hadi sasa lile la Njombe umeona kuna pesa yeyote ya maana linaingiza? Likewise soko la Ndugai Dodoma liko wazi.Hivyo hivyo na Mwanjelwa market..

Miradi ya masoko na mastand makubwa ni upuuzi usio na maana,ndio maana hata Rais alisema watumie hayo majengo kwa ajili ya mambo mengine..
 
Kwa makambako linaweza kuwaludishia kwasababu nilivyosikia wafanyabiashara wataamishwa kwenda soko la mbaoo sa apoo baada ya kuwahamisha toka kule inakua ni rahisi kuwarudishaa afuu kwa makambako ni sehemu kubwa litajengwaa kuanzia wanakouza nguo Hadi kwenye mazao tofauti na njombe walivunja wanakouza mazao kwaiyoo wauza nguo walibaki maeneo yaoo ndo maana soko kuu njombe Lina watu kidogoo
 
Hivi na sumbawanga mapato yake yapo vip maana mim huwa siamini Sana mapato ya ndani kuwa mkikusanya makubwa et ndo mji itaendelea labda kwenye vigezo vya kupanda hadhi ila si maendeleo Hilo nimeliona halmashauri nyingi tu mfano tu mufindi Ina mapato makubwa kuzidi hiyo sumbawanga lakini fika maeneo husika uone uhalisia kuanzia miundo mbinu utaona utofauti Ni mkubwa mno
 
Sumbawanga mapato ni kiduchu Sana sawa tuu na Makambako lakini ni Manispaa..

Kinachotofautisha maendeleo ya miji ukiacha biashara ni hadhi ya Mji husika.Miji ambayo ni Makao Makuu ya Mikoa at the same town ina hadhi ya Manispaa huwa inapewa upendeleo na Serikali.

Kwa Mantiki hiyo haijalishi wanakusanya ngapi ila wanapewa huo upendeleo kwenye nyanja zote kuanzia miundombinu hadi sekta za jamii zote tofauti na Miji ambayo haina hadhi tajwa na isiyo Makao Makuu ya Mkoa.

Faida wanayoipata wale wenye mapato mengi ni kwamba wao watakuwa Wana uwezo wa kupata maendeleo kwenye sekta nilizotaja hapo juu Kwa kutumia mapato yao wenyewe japo kujisogeza kidogo badala ya kusubiria ruzuku ya serikali kuu ambayo inatoa kipaombele kwenye Manispaa na Majiji..

Technically hii ya kukusanya mapato mengi haina tija Sana kwa sababu hata ambao hawakusanyi bado watapata ila tuu nyie mnakuwa mumeisaidia Serikali isilete pesa ambayo ingeleta kwa sababu mnaweza kukusanya na mkatumia wenyewe.
 
Nimetoka kuishi njombe kwasasa nipo kahama, kwasasa kahama IPO juu Sana kimaendeleo, ukubwa na hata idadi ya watu bdo kahama IPO juu
Njombe battle zake labd Ni makambako, mpanda, Lindi ila kwa kahama hapana asee
 
Back
Top Bottom