Tatizo liko Wilaya za makete na Ludewa na sababu zipo hasa hasa ilikuwa ni miundombinu duninya barabara kutawanya vyakula vinavyotoka Wilaya nyingine.Mama samia jana alimwambia mkuu wa mkoa mpya wa njombe aende akapambane na utapiamlo kwenye huo mkoa kwani unaongoza Tanzania nzima ingawa wanalima mazao ya chakula.
Mmeacha kuiba maji?Tatizo liko Wilaya za makete na Ludewa na sababu zipo hasa hasa ilikuwa ni miundombinu duninya barabara kutawanya vyakula vinavyotoka Wilaya nyingine.
Njombe bado pako nyuma..... Njombe saa mbili usiku watu mjini hakuna wameenda kulala...Kahama hakuna kulala mpaka asubuhi
Mji ni lazima uwe na purukushani nyingi..ndio unanoga..sasa mji gani sa2 watu wamelala..manake hapo hakuna harakati za pesa ni kijijini tu.Mimi huwa nashangaa sana, kufananisha mizania ya mji na uchangamfu wa vurugu za usiku, wenyewe wanasema mji umechangamka, ikiwa kuna mji hauna hulka ya vilabu vya pombe na Bar kubwa kubwa basi huitwa huo mji haujachangamka! Lakini kila watu na taratibu walizojiwekea
Huo huwa ni ulimbukeni fulani hivi, yaani wanadhani kila Mji utakuwa vibanda vya pombe na kujaa wachuuzi.Mimi huwa nashangaa sana, kufananisha mizania ya mji na uchangamfu wa vurugu za usiku, wenyewe wanasema mji umechangamka, ikiwa kuna mji hauna hulka ya vilabu vya pombe na Bar kubwa kubwa basi huitwa huo mji haujachangamka! Lakini kila watu na taratibu walizojiwekea
Mmeacha kuiba maji?
Morogoro imehamia Southern highland siku hizi eti????? AhahahahahahahahahaaaaaaaaView attachment 2157465View attachment 2157466
Leta vitu positive Kama hiv vinavyochange madhari ya miji sio maneno mengi
Huo Ni mfano tuMorog
Morogoro imehamia Southern highland siku hizi eti????? Ahahahahahahahahahaaaaaaaa
Lol, yaani role model wenu Msamvu??????? tembeeni mpate exposureHuo Ni mfano tu
Lol, yaani role model wenu Msamvu??????? tembeeni mpate exposure