Mwajombe jr
Member
- May 20, 2021
- 84
- 57
Kuna tofauti ya uzuri wa mji,maendeleo na idadi ya watu.Kahama ni disorganised town wakati Njombe ni modern na organised town.Je hilo umeonaje?Nimetoka kuishi njombe kwasasa nipo kahama, kwasasa kahama IPO juu Sana kimaendeleo, ukubwa na hata idadi ya watu bdo kahama IPO juu
Njombe battle zake labd Ni makambako, mpanda, Lindi ila kwa kahama hapana asee
Makampuni tayari yameanza kuwekeza viwanda vya bidhaa za chuma makambako na hii ni kutokana uwepo wa chuma mchuchuma ludewa na hichi Ni moja ya ya kiwanda Cha bidhaa za chuma Kama misumari ,nondo nk
View attachment 2120287
Kiwanda Cha MSD idofi kikianza kazi tutegemee population ya watu katika mjii wa makambako itakua kubwaa
Uwe unasoma comments vizuri, kasema Kahama inaizidi Njombe kwa MAENDELEO, Ukubwa na IDADI ya watu. (Development+Population). Sasa we Kalia modernisation na watu hawataki kuishi hapo kwenye modernisation. Kahama kila siku inapokea wageni kutoka kila kona ya Tanzania na wengine wametoka huko huko Njombe na wamethibisha hapa hapa Kahama ni Mwalimu kwa Njombe.Kuna tofauti ya uzuri wa mji,maendeleo na idadi ya watu.Kahama ni disorganised town wakati Njombe ni modern na organised town.Je hilo umeonaje?
Mkuu Njombe ni Mkoa,,Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Zilipotelea mgodiniKwamba huko Kahama ndiko pesa zilipotelea unatakiwa kuzitafita?![]()
Jamaa yangu Njombe ni mji mzuri, unakuwa, lakini kwa Kahama, tuseme ukweli Kahama iko juu kwa maendeleo ya kasi!Kuna tofauti ya uzuri wa mji,maendeleo na idadi ya watu.Kahama ni disorganised town wakati Njombe ni modern na organised town.Je hilo umeonaje?
Je Kahama ni Mji mzuri au Mji mkubwa?Jamaa yangu Njombe ni mji mzuri, unakuwa, lakini kwa Kahama, tuseme ukweli Kahama iko juu kwa maendeleo ya kasi!