Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkeo ndio dogo.Nani ambae hajaishi? Afu kama uliishi Njombe enzi hizo unajidanganya Rudi kaishi upya afu ulinganisho na huko uswahilini..
Unaweza ukawa mke wangu pia maana una maneno ya kike
Nimekwambia nimeishi kote njombe na kahama ila kahama ipo vizuri zaid huo ni mtizamo wangu mimi sijakuzuia ww uwe na mtizamo wako tofauti Sasa taarabu za nini? We endelea kuamini unavyo amini ila watu walioishi hizo sehem kibiashara ukweli wanaujua
 
Hujakosea ila difference ni mil.600 tuu ..

Tupo top 15.Kwa taarifa yako mwaka huu tunawapita kimapato kama unabisha tukutane mwezi wa 4 kwenye bajeti ya Tamisemi .

Yaani unashangilia kupitiwa mil.600 na Manispaa yenye wakaazi zaidi ya 300,000? Unashangilia wakati Ilemelea MC imezidi Njombe TC mil.300 tuu wakati Ina wakaazi zaidi ya 500,000?

NYie ni maskini wa mwisho aisee ni vile tuu unajifariji hapa.
Ilemela ni Mkoani eti???
 
Unaweza ukawa mke wangu pia maana una maneno ya kike
Nimekwambia nimeishi kote njombe na kahama ila kahama ipo vizuri zaid huo ni mtizamo wangu mimi sijakuzuia ww uwe na mtizamo wako tofauti Sasa taarabu za nini? We endelea kuamini unavyo amini ila watu walioishi hizo sehem kibiashara ukweli wanaujua
Vizuri kwa kipi we choko,Picha na Takwimu zinajieleza unaleta feelings za nyege badala ya supportive evidences?
 
Nchi ina Halmashauri 184, katika hizo 184 ikiwepo na Kahama ndio wanaongoza kwa kukusanya mapato. Wanjombe, Kahama washindani wake ni hao 1-9. Nyie pambaneni na akina Namtumbo hukoo
View attachment 2099575
Unajifanya hii table Hapa chini huioni 😆😆😆

View attachment 2099716

Screenshot_20220129-131529.png
 
wee jamaa mimi nimeweka combined list ya CC/ MC/ TC na DC wewe unaweka list ya TC tu????? Kwenye hilo group la TC ambalo Njombe ni mwanachama wa kudumu hakuna hata mmoja aliyefikia Kahama kwa makusanyo
Afu hiyo nafasi mko ni ya Geita na Chalinze DC,ko usijifariji mkuu ndio kwanza ni miezi 6 tuu hadi June 31 utajua hujui.
 
Na kazi imeanza tayari wafanyabiashara wamesha ambiwa wajiandae kupisha ujenzi wa soko kuu wanataka wajenge la gorofa ambalo litakuwa kubwa ukanda huu
FB_IMG_16431672616748943.jpg

Wafanyabiashara makambako waliambiwa habari za kupisha ujenzi wa soko kubwa ukanda wa nyanda za juu kusini ambalo soon linaanza kuje
FB_IMG_16431672524815024.jpg
 
Na kazi imeanza tayari wafanyabiashara wamesha ambiwa wajiandae kupisha ujenzi wa soko kuu wanataka wajenge la gorofa ambalo litakuwa kubwa ukanda huu
Ila Makambako mnatuaibisha Sana yaani Mji mzima mnakusanya vimapato kiduchu kama Ludewa DC?
 
Back
Top Bottom