Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Kwani barabara huwa zinatoka wapi zinaenda wapi? Weka bango la ujenzi tuone kama hujaumbuka.Acha kuhangaika hizo ni barabara zinaenda vijijini
Kwani barabara huwa zinatoka wapi zinaenda wapi? Weka bango la ujenzi tuone kama hujaumbuka.Acha kuhangaika hizo ni barabara zinaenda vijijini
Tuoneshe za zinazoenda vijijini huko kusiniKwani barabara huwa zinatoka wapi zinaenda wapi? Weka bango la ujenzi tuone kama hujaumbuka.
Nijuavyo Mimi Njombe imetembelewa mara nyingi na Marais wawili JK Nyerere na JK wa pili(Kikwete) Sababu zinajulikana wote wawili walikua wanaitazama Njombe kwa jicho la uchumi na sio luxuries.Kufunga mjadala huu, mji atakao tembelea wa kwanza kati ya hizi miwili (Njombe / Kahama) ndio mshindi....Tumeelewana?
![]()
Unaogopa mapema, mama ni kama JK tuNijuavyo Mimi Njombe imetembelewa mara nyingi na Marais wawili JK Nyerere na JK wa pili(Kikwete) Sababu zinajulikana wote wawili walikua wanaitazama Njombe kwa jicho la uchumi na sio luxuries.
Kwa.jinsi unavyoropoka na kuhara upupu hapa jukwaani nadhani umevuta bangi ya Mzilankende 😂😂..la.sivyo ni kansa ya ubongo maana ndio imekita mizizi.Njombe ndio kitu gani ? Kule ambako ukimwi ulishafanya makao ya milele ? Mijitu inakula bangi kama mboga toka utotoni ? Sina hata muda wa kupoteza na mikoa ya kipuuzi kama Njombe
Njombe ndio kitu gani ? Kule ambako ukimwi ulishafanya makao ya milele ? Mijitu inakula bangi kama mboga toka utotoni ? Sina hata muda wa kupoteza na mikoa ya kipuuzi kama Njombe
Kwa.jinsi unavyoropoka na kuhara upupu hapa jukwaani nadhani umevuta bangi ya Mzilankende..la.sivyo ni kansa ya ubongo maana ndio imekita mizizi.
Njombe kila Kona lazima iwakalie kichwani na kuwajambia kama hivi
View attachment 2026327
Mimi safi wewe vipi kwani? Kula na wewe bangi uone motoTuoneshe za zinazoenda vijijini huko kusini
Ujumbe umefika, acheni kula bangi kama mboga. Njombe ni uswekeni tu huko nani anapataka ? We vipi ?
Maskini wewe Kagera haiwezi kutetereka kwa kuondoka wilaya maskini kama biharamulo na ngara, wanalalamika wachache wenye maslahi na hizo wilayaUkiona vilio kama hivi uje kuna maumivu mahala..
Chato wakamue hao hadi akili ziwakae sawa
View attachment 2026377
😆😆🤣🤣 utasikia sisi tuna madini.Maskini Kanda ya Ziwa kwa shujaa wa Africa 👇Maskini wewe Kagera haiwezi kutetereka kwa kuondoka wilaya maskini kama biharamulo na ngara, wanalalamika wachache wenye maslahi na hizo wilaya
Njombe hamna haja na SGR kwa sababu TAZARA imepita hapo ambayo nayo ni SGR standard chakubadili hapo ni vichwa vya umeme na kuweka mifumo ya umeme tu.Sgr sio kipaombele kwa sasa huku Njombe, kipaombele ni barabara na parachichi..
Hiyo sgr itajengwa kutoka makambako Njombe liganga/ mchuchuma to Mtwara ..
Sisi kipaombele ni 👇
View attachment 2016193
View attachment 2016194
Sisi tuko vijijini
Hilo walikuwa hawajui kuwa sgr huku nyanda za juu kusini ilishajengwa kitambo sema hawakuweka mfumo wa umeme wao si ndo mara ya kwanza kusia neno hiloNjombe hamna haja na SGR kwa sababu TAZARA imepita hapo ambayo nayo ni SGR standard chakubadili hapo ni vichwa vya umeme na kuweka mifumo ya umeme tu.
Nimesha wahi kupanda express first class mara kadhaa aisee kunastarehe kama unafanya utalii, huwa napenda sana usafiri wa tren reli ya TAZARA mbeya - Dar.