Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ndiyoo, kura za mjini ni za kuwinda na lazima aziwinde kwelikweli, sio kama za huko vijijini kusini zinajileta zenyewe bila hata kuzitafuta
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Sasa kwa nini awawazie nyie huko wakati kura zipo za bwelele
emoji1.png
emoji1.png
.

1.SGR imeanzia dar na Mwanza, kura zinasakwa.

2.madaraja mareeefu ni Mwanza na Dar, kura hizo.

3.Stand za kisasa Mwanza na Dar, kura zinatafutwa.

4. Yaani kila kitu cha maana ni dar na Mwanza tu.

Lakini vijijini kusini Saasa
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
, mmetengwa lakini mnapiga kura za ndiyo bila hata kuzisaka
emoji3.png
, Deo sanga anasema huyu Rais kaletwa na Mungu mwenyewe
emoji23.png
emoji23.png
Kanda ya ziwa mnahitaji msaada,imagine hadi Leo Kanda ya ziwa wakiongozwa na wasukumu bado wanaamini utajiri unaletwa na kumuozesha binti.Wakati southern Highland tukisomesha na kutoa mitaji kwa akina Mama na mabinti jamaa bado wanasubiri binti aolewe ndio familia ipate nafuu.Imagine wanakomaa na mahali wako tayari binti asiolewe kisa mahali haitoshi.Jamii hii haiwezi kushindana southern highland
 
Naona umekosa hoja hadi unacopy na kupest post za nyuma
 
Maji ni shida hadi masaki, Dar watu hawaogi sababu ya uhaba wa maji, na Rais kalizungumzia hilo leo hii akiwa Rocky City.

Ila kusini ni wa wakuonea huruma, na mbaya zaidi hatuwasaidii mtabaki na tabu zenu mpaka Yesu arudi, Mmetengwa mko matakoni mwa Tanzania
Screenshot_2021-11-18-17-29-17-70.jpg
 
Ndiyoo, kura za mjini ni za kuwinda na lazima aziwinde kwelikweli, sio kama za huko vijijini kusini zinajileta zenyewe bila hata kuzitafuta Sasa kwa nini awawazie nyie huko wakati kura zipo za bwelele.

1.SGR imeanzia dar na Mwanza, kura zinasakwa.

2.madaraja mareeefu ni Mwanza na Dar, kura hizo.

3.Stand za kisasa Mwanza na Dar, kura zinatafutwa.

4. Yaani kila kitu cha maana ni dar na Mwanza tu.

Lakini vijijini kusini Saasa, mmetengwa lakini mnapiga kura za ndiyo bila hata kuzisaka, Deo sanga anasema huyu Rais kaletwa na Mungu mwenyewe
Kwenye wajinga wengi huwa ni mtaji kwa wanasiasa wengi Sana hususani Hawa wa ccm ndio maana wanashinda huko kuwa fool..

Wajinga ndio waliwao😝😝
 
Kwenye wajinga wengi huwa ni mtaji kwa wanasiasa wengi Sana hususani Hawa wa ccm ndio maana wanashinda huko kuwa fool..

Wajinga ndio waliwao
Ndoto nyingine bhuana, nimelala nikaota SGR inahamishwa kutoka Dsm-Mwanza mpaka Dsm-Njombe, serikali imeona Njombe itarudisha fedha za mkopo haraka kuliko Mwanza
 
Ndoto nyingine bhuana, nimelala nikaota SGR inahamishwa kutoka Dsm-Mwanza mpaka Dsm-Njombe, serikali imeona Njombe itarudisha fedha za mkopo haraka kuliko Mwanza
Sgr sio kipaombele kwa sasa huku Njombe, kipaombele ni barabara na parachichi..

Hiyo sgr itajengwa kutoka makambako Njombe liganga/ mchuchuma to Mtwara ..

Sisi kipaombele ni 👇

Screenshot_20211119-100949.png

Screenshot_20211111-095623.png
 
Kesho Rais Samia aka Chief Hangaya kwa mara nyingine atakuwa ndani ya jiji la Mwanza. Makazi yake rasmi ni pale Dodoma, yeye hupendelea kutembelea majiji mawili tu makuu hapa nchini, yaani Mwanza na Dar. Ana allergy na vijijini ndo maana hapendelei kwenda huko, na ndo maana hadi sasa toka aingie madarakani hajakanyaga vijijini kule kusini ambako vinapatikana vijiji vya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, nk wakati huohuo keshaenda Dar na Mwanza mara nne na zaidi.
Kila siku nakwambia anaenda walikojaa wajinga Ili kuwa fool..

Wajinga ndio waliwao.

Sweet Mbeya 👇

Screenshot_20211119-101448.png

Screenshot_20211119-101323.png

Screenshot_20211119-101332.png

Screenshot_20211119-101432.png

Screenshot_20211119-101420.png

Screenshot_20211119-101425.png
 
Huyo jamaa ni msukuma kutoka lake zone ndio hao wamezoea kulala ndani na mifugo na kiwafanyia kitu mbaya na unajisi.

Ukiona jamii ina laana ya albino jua sababu ndio hiyo sasa bila kusahau Kanda.Kwa hiyo tumempokea afu anadharirisha mkoa wetu wa wastaarabi.

Meanwhile 👇

Screenshot_20211118-221923.png
 
Back
Top Bottom