Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi watu wa Njombe hasa hii wilaya ya Ludewa wana matatizo gani?? Haya ni matukio ambayo yameripotiwa kutoka Ludewa kwa muda mfupi kama miezi 2. Nafikiri hayo ni baadhi huenda kuna mengi yanatokea na hayalipotiwi, kuna haja ya serikali kupeleka elimu huko View attachment 2045966View attachment 2045968View attachment 2045969View attachment 2045975View attachment 2045978
Acha mambo ya ajabu mkuu,usisahau wale wa kula Tigo ya mbuzi 😂😂

Hiyo Wilaya ustaarabu bado coz iko remote na ufikikaji wake ni ngumu sana
 
Kanda ya Ziwa jamani bado mko nyuma amkane kumekucha.Hii Ni bariadi Azam wametuonesha leo

Screenshot_20211216-230426.png
 
Kanda ya Ziwa jamani bado mko nyuma amkane kumekucha.Hii Ni bariadi Azam wametuonesha leo

View attachment 2046727
Ona hizo nyumba,ujue huwezi Dhani kuna watu Tzn hii wanaishi hayo maisha 😀😀😀😀..

Hata Ludewa hakuna mabanda ya hivyo.Nilikutana na Msukuma fulani katumiwa pesa Sasa hajui ni sh.ngapi kaniomba nimueleze Ili akatoe nilicheka sans.
 
Moderator badilisha uzi iwe KAHAMA VS ILEMELA​

kahamafmtz

1639749986117.png

Habari za Asubuhi,leo saa tatu tuna kikao cha Baraza la Madiwani na baadhi ya Wadau kutambulisha mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ikiwemo Uboreshaji wa Eneo la Viwanda la Ummy Mwalimu ambapo zitajengwa Barabara Kiwango cha Lami Km 12.6,zikiwa na mitaro na taa za barabarani,Stand ,Soko na Eneo la Mamalishe na Wamachinga.
Ujenzi wa Stand ya Mbulu,Soko la Sango na Barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .

Mradi huu unatekelezwa na Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri kwa Fedha za Mkopo kutoka Benki ya Dunia.

Mradi huu utatekelezwa katika Halmashauri 45 kwa Makundi 3,Kundi la Kwanza lina Halmashauri 12 Manispaa ya Kahama ni moja ya Halmshauri hizo na tayari Wataalamu Washauri wameshaanza Kazi ,na tunategemea Wakandarasi wataanza Ujenzi Julai 2022.
 
Moderator badilisha uzi iwe KAHAMA VS ILEMELA​

kahamafmtz

View attachment 2047609

Ili iwe nini?
 
Uzi wa wachovu kwa wachovu😀😀😀
 
Back
Top Bottom