Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mmetapeliwa na hakuna kilichonyooka. Kwanza kuishi Njombe yataka moyo. Nani akaishi uswekeni huko kama nyani na miumande hiyo. Fyuuuu. Poleni sana.ndio maana mnakula mbwa.
Huku ndio kutapelowa au vipi? 👇

Screenshot_20211121-141125.png
 
Halafu tukijenga barabara za lami vijijini mnatubeza .


Yaan huko hadi mijini lami ni shida
Hizo road unaweza Kuta ni za Tanroads zinakatisha kwenye migomba afu mtu anasema wanajenga barabara Vijijini 😄😄.

Kama ni shida onyesha lami kama hii hapo Bukoba village town 🤣🤣

IMG_20211112_192813_013.jpg


IMG_20211112_193022_745.jpg


IMG_20211117_191556_579.jpg


IMG_20211112_192540_924.jpg


IMG_20211112_192637_254.jpg


IMG_20211112_193909_325.jpg
 
Back
Top Bottom