Hahaaaa rais kagoma kwenda kjj cha mbeya😀😀😀😀😀Kusini kumesahaulika Rais haji kuna mavumbi 🤣🤣..
Samia ndani ya Mbeya 👇
View attachment 2019718
View attachment 2019719
Wewe unaendaga na Mkeo kliniki?Njooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmetisha aiseeee
![]()
Atakuja kwa shughuli zingine..Hahaaaa rais kagoma kwenda kjj cha mbeya😀😀😀😀😀
Kwani kanda ya ziwa imeandikwa???Wewe unaendaga na Mkeo kliniki?
Ndio jibu la swali langu?Kwani kanda ya ziwa imeandikwa???
Mkuu utakua unakosea kufananisha hilo duka hapo stand na littlemore arusha na kahamaLittle More super market ya Kahama ni kubwa kuliko ya Arusha
View attachment 2009163
Naijua Arusha, sijahadithiwa BossMkuu utakua unakosea kufananisha hilo duka hapo stand na littlemore arusha na kahama
Arusha ziko duka tatu za little more,moja ni kubwa mara 5 ya hilo jengo la makune hapo stand,then inakuja ingine hapohapo uhuru road jirani na steelcentre,lingine liko uhuru road b4 equity bank...arusha kwenye ligi yenu usihushisheNaijua Arusha, sijahadithiwa Boss

Kwa hiyo opportunity cost ukaamua uje na ID mpyaKazi ya kuweka lami mitaani inaendelea kwa Kasi sana.Kusini kuna mavumbi
Hapa ni Sumbawanga
View attachment 2042687
View attachment 2042688
View attachment 2042689
View attachment 2042690
View attachment 2042691

Hayo majengo ya Kahama yako wapi? Viroboto kwa kujifariji mko vizuri 😂😂😂😂Sijawai fika kahama kunavitu vinanifanya nijiulize kwanini kahama?
*Kahama wanaenda njombe kufuata mbao.
*Wanjombe wanaenda kahama kuuza mbao.
*wapo Wafanyabiashara wanaacha biashara njombe wanaenda kahama kufanya biashara mfano vifaa vya ujenzi.
- kuna mfanya biashara alisema ametembelea kahama hajaona majengo ya kahama yakufananisha na ya njombe.. Kwamba ujenzi wa kahama niwakisasa zaidi.
- pia kasema kodi za frem za biashara kahama kuona laki 5 kwa mwezi kawaida tofauti na njombe ambapo inacheza laki 2 hadi 3 kwa mwezi.
Hii inanifanya nione kahama ni mjini huku njombe ni shambani kwani ipo vizuri kiuzalishaji wa malighafi. Ila biashara IPO kahama.
Njombe nafasi iliyopo ni ya kimkoa zaidi
Kwanza wanawashangaa kuendelea kulinganisha uswekeni na mjini. Huko Njombe ni porini tu waendelee kuvuna mbao ambazo hazijakomaa. Kahama ni mji wa biashara na unafikika na nchi nyingi za maziwa makuu hadi Sudan Kusini. Unalinganishaje mlima kilimanjaro na kichuguu cha mchwa ?Sijawai fika kahama kunavitu vinanifanya nijiulize kwanini kahama?