Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Na hichi kimezinduliwa mwezi huu mjini makambako Cha vyombo vya plastic
IMG_20211110_164003.jpg
 
Mmetapeliwa na hakuna kilichonyooka. Kwanza kuishi Njombe yataka moyo. Nani akaishi uswekeni huko kama nyani na miumande hiyo. Fyuuuu. Poleni sana.ndio maana mnakula mbwa.
Ni kweli tumetapeliwa ila kudhihirisha utapeli we fungua Star tv na ITV kuna matangazo ya utapeli yanaendelea..

Ni kweli kwa nini uishi Njombe? Wewe endelea kuishi huku Mlikoyengwa kulikojaa Laana ya cancer👇

Screenshot_20211118-215300.png


Screenshot_20211118-221807.png
 
Hivi huko Jiji uchwara la Mwanza na Manispaa ya manamba ya Kahama mnaoga kweli?

Kusini tunapeta tuu Hali iko hivi 👇

Screenshot_20211120-161953.png
 
Back
Top Bottom