Kahama VS Njombe/Mafinga

Endelea kujifariji tu mmejazana kwenye vimiji uchwara vyenu hivo vijiji vipo hoi. Kilimanjaro walijipima ubavu ila hawakuona ndani tena angalau walileta tupicha ila nyie ni maneno tu
Miji uchwara iko huko kwenye hopeless RegionπŸ˜πŸ™„.Afu toka mumeanza ku post picha mbona sijawahi ona street lights au dual carriage roads za huko kwenu?

Njombe town πŸ‘‡























 
Sisi nyee nyee tunaongoza kuzalisha 😁😁 .Labda mnaongoza kwenye katerero na umaskini.

Ukipata kihenge hata kimoja kama hivi kimejengwa kwenye huo mkoa useless ni tag.

Vihenge hivi vya kisasa vimejengwa na Serikali kwenye mikoa yenye uzalishaji mkubwa na ya kimkakati ya Rukwa,Songwe,Ruvuma,Njombe,Manyara na Dodoma.

Hapa ni vihenge vya Sumbawanga πŸ‘‡

 
Kahama ilishashindwa zamani sana mumebakia kubwabwaja hakuna cha kuonyesha.

Weka picha za Kahama sio maneno.
Yaan hiyo manzese oh sorry buguruni kumbe njombe
ni matatizo matupu



Mutukula misenyi huu mkoa nashindwa kumaliza *** you takwimu

 
Sasa si mnalima mahindi? Au unataka tulime mahindi




Sukari ya kagera sugar

Kagera usipoila basi utainywa
 
Kwa hiyo vihenge ni vya kuhifadhia mahindi tuu au na Mazao mengine?

Maharage mnahifadhia wapi? Si mnaongoza nyie?
Maharage yanasafirishwa haraka Sana msije mkafa bure.

Halafu wew ni mshamba Sana hayo maghala sijui vihenge si hata mtu binafsi anaweza kumili
 
Maharage yanasafirishwa haraka Sana msije mkafa bure.

Halafu wew ni mshamba Sana hayo maghala sijui vihenge si hata mtu binafsi anaweza kumili
Hatuna huo ujinga labda muwasafirishie majirani wenu ambao ni desert regions,hakuna Mazao yoyote ya kilimo hutoka mikoa yenu hiyo kuja Kusini,sisi ndio tunawaletea.

Ndizi tunatoa Rungwe ,maharage ya kila aina tunalima wenyewe maana na vituo vya utafiti vipo.

Sasa wewe dingi saizi umri umeenda maharage Jesca kutoka TARI Uyole yatakuhusu uongeze nguvu za kiume.
 
Naona umeishiwa tupicha twa ghorofa za Bukoba sasa naendelea kukupa nyundo za utosi kutoka Swax town πŸ‘‡

























 
watu wa kusini mna nini lakini sasa hizi ndo nyumba za vijijini kwenu kweli?? Alafu mpo hapa majigambo!!! Kumbe bora ule uzi wa Bukoba na moshi walijitahidi kidogo
Tupo tunapoteza muda

Tumejenga mijini. Tuna miji mizuri iliyojengeka na yenye huduma bora na miundombinu ya uhakika.
 

Tuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
 
Tuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
Eti na Kabukoba Village town nako kanajiita Manispaa πŸ˜€πŸ˜€ yaani ni aibu hakana street lights,hakuna duala carriage roads,hakana service roads,hakuna stands na mbaya zaidi ni kamanispaa maskini hakuna income generating activities.

Hako kamji kamebakia kutegemea fadhila za serikali Kuu na remittances za wakazi wake walioko nje ya mkoa huo.

Hata airport wanayolingia ni matokeo ya kukosekana kwa barabara za maana kwa miaka mingi kuunganisha na sehemu zingine za nchi ,ikabidi airport iwe suluhisho la fasta kama ilivyo Kigoma.

Kuishi kimji kama Bukoba ni kutaka kufa ukiwa maskini.Nje ya Mwanza na Kahama hakuna kitu Kanda ya Ziwa kulinganisha na Kusini tuna miji mikubwa mingi Sana na inakua na ina mzunguko Mkubwa wa pesa.
 

Yaani kuleta vimiji kama bukoba ni kidhalilisha hadhi ya manispaa. Imagine Iringa iwe manispaa halafu na vijiji kama Bukoba navyo viwe manispaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…