instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Viwanda vya maji bukoba.
Zahra drinking water bukoba
Viwanda vya maji bukoba.
Viwanda vya maji

Maneno matupu hayana nafasi jukwaani,weka picha sio kulalama kama nguchiroHakuna kitu mbeya nitakataka tu we uijui mwanza naishi mbeya nimkoa wa kishamba sana huwez linganisha na mwanza huijui mwanza ww huwezi tuma picha za city pub na ilo ghorofa pamoja na kabwe huo ni uchafu kwa mwanza
Viwanda vya maji bukoba.

Subiri nimalizane na wew bukoba.Maneno matupu hayana nafasi jukwaani,weka picha sio kulalama kama nguchiro



Sio tuu viwanda vya maji bali viwanda vya maji bora yanayokubalika kitaifa.unaleta viwanda vya maji? Bukoba Kuna viwanda saba vya maji.
Hebu tuanzie hapa.
Bunena spring waterView attachment 1925107View attachment 1925108View attachment 1925109View attachment 1925110
Sio tuu viwanda vya maji bali viwanda vya maji bora yanayokubalika kitaifa.
Dew drop ni kampuni kubwa na maji bora labda kupita Kilimanjaro.
Hivyo viwanda vya maji ya kandoro uzianeni huko huko Bukoba ila tembea Tzn,nenda Dar utakutana na Due drop drinking water.




Kuna kile kiwanda cha juice ya Nanasi Muleba
Sijawahi ona hiyo Dew drop Kanda ya ziwa.
Huku kuna jambo,bunena na asilia
Bado Nina Viwanda kibao Mimi.
Kiwanda Cha kusindika nyanya bukobaView attachment 1925133View attachment 1925134
Kwa hiyo huko Bukoba mnakunywaga maji tuu maana sioni viwanda vya nyama,grain factory,samaki nk kama nilivyo weka mimi hapo juu vikiwemo na vya maji.Subiri nimalizane na wew bukoba.
Tutahamia mwanza soon
Bado Niko na viwanda vya maji
Mayawa drinking waterView attachment 1925128
Hiv unajua Ranchi ya kitengule iliyopo huko karagwe na misenyi ndo Ranchi kubwa kuliko zote nchiniSio tuu viwanda vya maji bali viwanda vya maji bora yanayokubalika kitaifa.
Dew drop ni kampuni kubwa na maji bora labda kupita Kilimanjaro.
Hivyo viwanda vya maji ya kandoro uzianeni huko huko Bukoba ila tembea Tzn,nenda Dar utakutana na Due drop drinking water.
Kijana nishawahi kusikia kuwa kagera ni mkoa wa nne kwa kuwa na viwanda vingi nchini ( subiri nitakutafutia source)Kwa hiyo huko Bukoba mnakunywaga maji tuu maana sioni viwanda vya nyama,grain factory,samaki nk kama nilivyo weka mimi hapo juu vikiwemo na vya maji.
Specialization in zone, grain tunasogea Kahama. Yaani hapo mpaka mipunga ya Katavi/ Swax wanaleta Kahama. Sababu ya umuhimu huo kuna mradi wa barabara Swax - Kahama km 426Kwa hiyo huko Bukoba mnakunywaga maji tuu maana sioni viwanda vya nyama,grain factory,samaki nk kama nilivyo weka mimi hapo juu vikiwemo na vya maji.
Naam Mali juice muleba.Kuna kile kiwanda cha juice ya Nanasi Muleba
Kiwanda Cha maziwa huko karagwe.Kwa hiyo huko Bukoba mnakunywaga maji tuu maana sioni viwanda vya nyama,grain factory,samaki nk kama nilivyo weka mimi hapo juu vikiwemo na vya maji.
Ujenzi wa soko la kimataifa mutukula wilayani misenyiKwa hiyo huko Bukoba mnakunywaga maji tuu maana sioni viwanda vya nyama,grain factory,samaki nk kama nilivyo weka mimi hapo juu vikiwemo na vya maji.
Ndo maana mnakaa mnajifariji huko hamtembei mnasubiri kusimuliwaKayanga uwewahi kuisikia popote kwenye Takwimu za serikali? Huwa naisikia kwenye Takwimu za Vijijini vya ujamaa
Hakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini



kumbe nyie bado sana hata hamjui barabara za lami kwenda vijijini, soon unaanza ujenzi wa barabara kutoka kijiji kyetema kwenda kyaka kupitia vijiji vya ibwera na katoro km45Haha amechanganyikiwa baada ya kuona picha hazina nyumba za tembe kama kwao akahisi hapo ni mjiniKwa hiyo Rubya ni muleba mjini
Vip kamachumu na kishanda ni muleba mjini
Na muhutwe je
Wap nshamba
Kijana Kama mmepitwa mmepitwa kubali
Kagera ipo inapambana na barabara za kuunganisha vijiji na wilayaView attachment 1925064
Yap na juzi nimekuta wanaendelea na ujenzi wa barabara za lami kutoka buhembe Hadi Kijiji cha burugo. Na kutoka nyakato Hadi vijijini huko kaagya na kashozikumbe nyie bado sana hata hamjui barabara za lami kwenda vijijini, soon unaanza ujenzi wa barabara kutoka kijiji kyetema kwenda kyaka kupitia vijiji vya ibwera na katoro km45
Yap kote huko ujenzi unaendelea na sehem nyingine ni umaliziaji kama hiyo barabara ya nyakato kwenda kaagya huko mbele tyr ni mita chache tu wanamalizia kutoka nyakato secondaryYap na juzi nimekuta wanaendelea na ujenzi wa barabara za lami kutoka buhembe Hadi Kijiji cha burugo. Na kutoka nyakato Hadi vijijini huko kaagya na kashozi
Na barabara ya kuunganisha gera Hadi vijijini mugani ipo inatengenezwa