Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.

Chai,kahawa na parachichi Njombe ni champions.

Timber products Njombe ni leading region.

Mazao ya chakula kama mahindi,viazi,matunda anuwai tuko front.

Vanilla imehamia huku kwetu huko kwenu imebakia historia.

Madini kama chuma,makaa nk yako ya kutosha.

Vyanzo vya maji na utalii ndio usiseme tutahost mabwawa 3 makubwa ya kuzalisha umeme Tzn.

Uvuvi na usafiri wa ziwani tumo.

Hilo la Kagera kuongoza kwenye uzalishaji wa maharage ni kichekesho kipya mkuu.

Mwisho wa siku value na uchapakazi ndio vitaamua utofauti .
Uzalishaji wa zao la vanilla nchini.

Kagera ikiongoza Tanzania

Screenshot_20210905-123646.jpg
 
Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.
Unahesabika kuwa mikoa duni kwa sababu ya population yake .
Just imagini 3.1 million people
Hebu watengeneze mkoa wa chato labda waziondoe ngara na biharamulo

Anyway uzalishaji wa Sukari nchini kagera ikiwa top three
Screenshot_20210905-123407.jpg
 
Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.
We umesahau kagera inapakana na nchi nne

Uganda kasikazini, Rwanda upande wa magharibi, Burundi upande wa kusini magharibi, na Kenya ukivuka ziwa tu.

Huu mkoa una future na Sasa wameanzisha national parks burigi chato,ibanda national park na rumanyika national park.

Meli zimerudi Kama mv Victoria na Sasa mv mwanza inayojengwa.

Kirochohurudisha mkoa wa kagera nyuma ni majanga Kama vita vya kagera nk nk
Mkoa bado unarecover
 
Bado kuna mradi wa umeme wa maji Rusumo na Murongo/ Kikagate Uganda
 
Ngara na Biharamulo hakuna Neema huko ni kama Makete tu 😀
Hizo wilaya na Mimi sisemi uongo ziko nyuma sana.na ndo zinairudisha nyuma kitakwimu mkoa wa kagera.

Biharamulo ni moja ya wilaya maskini nchini na Mimi nakubaliana na Hilo kabisa ndo maana mzee magu aliondoa chato kutoka biharamulo

Wilaya imejaa waamiaji n Haina uzalishaji wowote mkubwa Kama wilaya nyingine za kagera.

Ngara huko ndo kabisa kwanza ni mbali n bukoba .

Zitengenezewe mkoa wake ili ziangaliwe vzr aisee
 
Kata ya Luponde 33 kilometa kutoka Njombe CBD

View attachment 1924225
Kijana kagera Ina future Kali sana.
Kuanzia wingi wa wasomi na miradi ya maendeleo

Pamoja na adhabu ya kuendelea kupata umeme kutoka Uganda NB adhabu ya Vita ya kagera kwa Uganda.

Kuna mradi mkubwa wa uzalishaji wa umeme megawatt 80 mkoani kagera.
images.jpg
images%20(1).jpg
images%20(2).jpg
images%20(3).jpg
 
Kagera inaongoza kwa uzalishaji wa maharage nchini

Eti kijana Leo hautakula maharage

Basi kumbuka mkoa wa kagera walimaji katika Sala

Endeleeni kuzalisha mitiView attachment 1924485
Hizi Takwimu ni za lini? Hadi nimekua mkubwa ndio nimejua leo kuwa Kagera wanazalisha maharage maana sijawahi yala wala sijui ni aina gani.

Najua maharage kutoka Kigoma,Rukwa,Mbeya,Songwe na Ruvuma.

Mbona maharage yana fetch bei nzuri na yanawatoa watu huku kwetu Highlands sasa kama mnaongoza how comes mnaongoza kwa poverty rates kwa kiasi hicho? Nyie watu mna shida ya uvivu au?
 
Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.

Maana uje upate gunia 12 za maharage kwenye ekari ni mziki huwezi linganisha na ekari moja ya miti au viazi mviringo.

Tafuteni kitu kingine cha maana mtaishia mkoani kila siku.
 
Kijana. Soma vizuri hapo 2019/2020

Unapooona tunapinga takwimu zako na serikali hata sisi tunajiuliza Kama wew.

Lakin jibu la haraka haraka ni kuwa GDP ya kagera ni ndogo kulinganisha na population .
3.1 million people nyuma ya dar na mwanza tu. Lakin uwekezaji wa serikali kwa mkoa huu bado uko chini .

Screenshot%20(20210905-115826)~2.jpg
 
Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.

Maana uje upate gunia 12 za maharage kwenye ekari ni mziki huwezi linganisha na ekari moja ya miti au viazi mviringo.

Tafuteni kitu kingine cha maana mtaishia mkoani kila siku.
Kijana nadhani unafahamu mixed farming.

Kagera huko ndo watu wanalima hivyo.hawategemei zao moja.

Shamba la migomba linakuwa na maharage,magimbi,viazi,mbogamboga na pembeni vanilla na kahawa .

Kaulizie watu wa kagera wanawezaje kusoma watoto wao shule nzr .na kujenga nyumba nnzr vijijini.

Sijaelewa unaposema kagera ni wavivu wakati mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa maharage, ndizi,kahawa, vanilla na sukari
 
AaahhahaaaaaViazi mviringo unaulizia Kagera?????
Hebu nilete report ya serikali. Yeye si anapenda takwimu

Tunaposema kagera sio maskini kihualisia wanabisha na matakwimu yao kiuchwara
 
Kijana. Soma vizuri hapo 2019/2020

Unapooona tunapinga takwimu zako na serikali hata sisi tunajiuliza Kama wew.

Lakin jibu la haraka haraka ni kuwa GDP ya kagera ni ndogo kulinganisha na population .
3.1 million people nyuma ya dar na mwanza tu. Lakin uwekezaji wa serikali kwa mkoa huu bado uko chini .

View attachment 1924539
Sasa kama familia ya watu 6 inategemea ekari moja mtaacha kuwa na GDP ndogo na umaskini uliotukuka?

Lazima wingi wenu uonekane kwenye tija ya uzalishaji sio katerero tuu 😂 😂
 
Back
Top Bottom