Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Umeniwahi nilitaka niweke hii taarifa Ili kutunza rekodi sawa,Kahama ziko 6 Njombe ziko 5
Umeniwahi nilitaka niweke hii taarifa Ili kutunza rekodi sawa,Kahama ziko 6 Njombe ziko 5
Ndicho kinawaponza watu wa Geita,Mwanza,Shinyanga, Simiyu yaani migodi na kampuni zimeshika uchumi afu kodi wanalipa Serikalini unfortunately hazimfikii mtu wa chini directly.Njombe inakusanya na watu pia wanaendelea.Hiyo ndio tofauti,kinachoitofautisha Njombe na mikoa ya Kanda ya Ziwa ni divesity ya njia za uchumi,Njombe Kuna vitu vingi vya kiuchumi vinavyomnufaisha mtu binafsi moja kwa moja wakati mikoa mingine inategemea wawekezaji wakubwa kukusanya mapato ya serikali tu.Kodi ya wawekezaji inaenda haxina hivyo watu wanasubiri huruma ya serikali kuiridisha kidogo ndio maana mzunguko wa fedha unakua kidogo tofauti na Njombe,sababu nyingine ni Biashara za kati kua nyingi kwa watu wanjombe,unakuta karibu asilimia 30 ya kaya zina mtu anapiga Biashara hivyo inakua Kama Diaspora anayerudisha mzukunguko wa fedha.Ndio maana mikoa ya Nyanda za Juu haitegemei mhindi kuleta biadhaa muhimu au watu wa mbali ni sisi kwa sisi.
Tuko nyuma ila sio Sana ,uwe unaona aibu mkoa wa juzi unaweza tunisha misuli kwa nyie wakongwe.Come 2025-2030,Njombe itakuwa haikamatiki.Yan unavyoipamba njombe
Bado mko nyuma Sana tuseme ukweli
Kwa nini tusifike wakati speed yetu ni kubwa kuliko huko kwenu?Ila bado hamuwezi kufikia Bukoba na wala sio leo.
Kwa mkoa wenu hizo Wilaya 2 na mjini ndio zina nafuu,Ila kwa Wilaya za Njombe ulizo Zi site zilikuwa na shida ya miundombinu tuu ndio kukawa na life hardships but with new development utakuja kuishi tuu pesa inabadili kila kitu.wanakuchosha bure huwezi kutoka misenyi au muleba ukaenda kuishi makete au sijui ludewa utakufa kwa stress
Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.Tuko nyuma ila sio Sana ,uwe unaona aibu mkoa wa juzi unaweza tunisha misuli kwa nyie wakongwe.Come 2025-2030,Njombe itakuwa haikamatiki.
Kanda ya Ziwa imeshikiliwa na Mwanza Jiji na Kahama basi.
Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.Eti alitupendelea.
Serikali wanaangalia sehemu potential kwanza . huwezi zungumzia uchumi wa Tanzania Bila kuiangalia Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa inapakana na nchi kibao na Kuna population kubwa.
Kahawa ni zao la pili nchini katika mazao ya biashara kuingiza kipatoo na 65 % ya kahawa yote nchini.
Bado ndizi 70% ni kutoka mkoa mmoja
Bado vanilla
Bado Sukari.kumbuka kagera sugar ni moja ya viwanda vikubwa nchini kwa uzalishaji
Bado maharage zaidi ya 70% yanatoka kagera
Bado chai na maparachichi yanalimwa kagera.
Bado pamba inalimwa
Bado madini Kama dhahabu na tin
Nk nk
Bado biashara za mipakani
Maendelea hayo si unaona uzinduzi wa kisima cha maji na background nzuri ya kijiji hapo.
22 storey under construction 😛
Kijana mie sio mpiga porojo Kama nyie na uongo wenu hapa.Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.
Chai,kahawa na parachichi Njombe ni champions.
Timber products Njombe ni leading region.
Mazao ya chakula kama mahindi,viazi,matunda anuwai tuko front.
Vanilla imehamia huku kwetu huko kwenu imebakia historia.
Madini kama chuma,makaa nk yako ya kutosha.
Vyanzo vya maji na utalii ndio usiseme tutahost mabwawa 3 makubwa ya kuzalisha umeme Tzn.
Uvuvi na usafiri wa ziwani tumo.
Hilo la Kagera kuongoza kwenye uzalishaji wa maharage ni kichekesho kipya mkuu.
Mwisho wa siku value na uchapakazi ndio vitaamua utofauti .
Porojo za Mitandaoni.Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.
Uzalishaji wa sisal nchini.Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.
Chai,kahawa na parachichi Njombe ni champions.
Timber products Njombe ni leading region.
Mazao ya chakula kama mahindi,viazi,matunda anuwai tuko front.
Vanilla imehamia huku kwetu huko kwenu imebakia historia.
Madini kama chuma,makaa nk yako ya kutosha.
Vyanzo vya maji na utalii ndio usiseme tutahost mabwawa 3 makubwa ya kuzalisha umeme Tzn.
Uvuvi na usafiri wa ziwani tumo.
Hilo la Kagera kuongoza kwenye uzalishaji wa maharage ni kichekesho kipya mkuu.
Mwisho wa siku value na uchapakazi ndio vitaamua utofauti .
Uzalishaji wa kahawa Tanzania.
Kagera ikizalisha zaidi ya nusu ya kahawa yote nchini.
Msisahau kahawa ni zao la tatu nchini kuchangia Pato la taifa baada ya tumbaku na karafuu.
Njombe yenu mna population ndogo sio kwamba mna maendeleoView attachment 1924428View attachment 1924430
Porojo za Mitandaoni.Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.
Chai,kahawa na parachichi Njombe ni champions.
Timber products Njombe ni leading region.
Mazao ya chakula kama mahindi,viazi,matunda anuwai tuko front.
Vanilla imehamia huku kwetu huko kwenu imebakia historia.
Madini kama chuma,makaa nk yako ya kutosha.
Vyanzo vya maji na utalii ndio usiseme tutahost mabwawa 3 makubwa ya kuzalisha umeme Tzn.
Uvuvi na usafiri wa ziwani tumo.
Hilo la Kagera kuongoza kwenye uzalishaji wa maharage ni kichekesho kipya mkuu.
Mwisho wa siku value na uchapakazi ndio vitaamua utofauti .

just imagine almost 60% ya kahawa yote nchini inatoka kagera.

.Yaan hakuna mkoa unaogusa hata nusu ya kagera kwenye uzalishaji wa kahawa.
Kagera inaongoza kwa uzalishaji wa maharage nchiniKila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.