Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mna ushamba mwingi.

Kama huku ndo njombe basi kahama inawazidi mbali Sana

Bukoba sio level za huko naishusha tu hapa
HahahHa naona unahitaji msaada mzee maji shingoni tulikwambia njombe sio level yenu ndo maana takwimu zote tumewagalagaza nyie endelee na kazi zenu tunazifahamu ila swala la maendeleo njoo ujifunze mkoa wa njombe
 
Na huuu ndo uhalisia mzee wa migombani
FB_IMG_16303785236604343.jpg
 
Kanda ya Ziwa mkiacha utegemezi mtaweza kufika angalau Per Capita GDP ya mil 2.Lakini mkibaki kua Tegemezi tutawaacha kw m
Sema mna ushamba fulani na hamtembei.tembei
Hatutembei unadhani tunaongea hapa tuko Njombe.au unataka tufunge Safari kuja kagera,labda nikwambie tu ukianzia Dar-Moro-Dom-Singida -Shinyanga-Mwanza/Kagera Kuna maendeleo ya chini Sana ukilinganisha Dar-Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara.Kanda yenu mmeanza kuzidiwa na Dar-Pwani-Lindi -Mtwara😀😀
 
Kanda ya Ziwa mkiacha utegemezi mtaweza kufika angalau Per Capita GDP ya mil 2.Lakini mkibaki kua Tegemezi tutawaacha kw m
Hatutembei unadhani tunaongea hapa tuko Njombe.au unataka tufunge Safari kuja kagera,labda nikwambie tu ukianzia Dar-Moro-Dom-Singida -Shinyanga-Mwanza/Kagera Kuna maendeleo ya chini Sana ukilinganisha Dar-Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara.Kanda yenu mmeanza kuzidiwa na Dar-Pwani-Lindi -Mtwara
Unaona ulivyo mshamba.

Tanzania Kuna maendeleo gan Sasa
Eti kusini, sijui kaskazini pote utumbo mtupu.

Ndo maana nasema hamna exposure
 
Na huuu ndo uhalisia mzee wa migombaniView attachment 1917425
Wee jamaaa ni pimbi kweli, hizo parcentage ni za umasikini na utajiri, Kama utajiri ni 87% basi umasikini ni 23%. Na Kama umasikini ni 34% basi utajiri ni 76%. No big difference. Kilichofanyika kwenye statistics zako wameweka percentage za juu za umasikini na utajiri. Lakini sio kwamba Njombe hakuna walalahoi na Kahama hakuna matajiri.
 
Hahaha Yan huko umaskin ndiko nyumban kwake Sasa unabishana na uhalisia we jamaa basi fanya utafiti wako hizo ni percentage za

FB_IMG_16303969897973102.jpg
 
Hko ni kujifariji tembele mikoa mingine endelea kujifungia kwenye mikoa hiyo maskini
Unaona ulivyo mshamba.

Tanzania Kuna maendeleo gan Sasa
Eti kusini, sijui kaskazini pote utumbo mtupu.

Ndo maana nasema hamna exposure
Mb
 
We kwako maendeleo ni magorofa au,tuanaangalia quality ya makazi,huduma za jamii,purchasing ability,mzunguko wa fedha unaotokana na shughuli za kiuchumi,pato la mtu mmmoja mmoja annualy na GDP ya mkoa kwa ujumla.Tatizo lako uncompare country wise na Regional wise.Nikukumbshe tu Tanzania kuna maendeleo yanayochagizwa na Mikoa,Kanda,wilaya.Hivyo Nyanda za juu kusini mchango wetu kwenye kuimarisha GDP na per Capita income ni mkubwa sana tofauti na Lake zone. 😀 😀 😀 😀
 
Hebu tuanzie hapo kwenye quality ya makazi

Hiv unaweza linganisha vijiji vya njombe n bukoba akili ikawa sawa!!!

Hapo mjini njombe nyumba zimejaa kutu na mabati meusi zinazidiwa na nyumba huko vijijini ndani ndani huko karagwe na misenyi
 
Haha yote hi ni shida ya kutosha kutembea hebu fanya ziara siku moja uangalie vijiji vya njombe watalam wamefanya utafiti wakajua mkoa was njombe upo vizur zaidi ya kagera we endelea kunywa ubisi ukimaliza tembelea na ngara
 
Kijiji cha ntoma bukoba vijijini
1980142_5.jpg
1980136_13201.jpg
 
Watu wa njombe kama wanakichaa cha mbwa huwezi linganisha bukoba na njombe level ya bukoba ni iringa wao level yao ni kahama geita bunda na bariadi kwa musoma hawaingii halafu kigezo cha kukusanya mapato makubwa sio kigezo cha maendeleo kwani chalinze inamapato makubwa kuliko morogoro manispaa sasa ndio tuseme chalinze wameendelea kuliko morogoro mjini pia kahama na geita wanakusanya pesa nyingi kuliko bukoba na ilemela je wameendelea kuliko bukoba au kigamboni inakusanya pesa kidogo kuliko njombe je hio njombe inamaendeleo kuliko kigamboni
 
We kaa kimya hujui maana ya maendeleo

Njombe inakusanya na watu pia wanaendelea.Hiyo ndio tofauti,kinachoitofautisha Njombe na mikoa ya Kanda ya Ziwa ni divesity ya njia za uchumi,Njombe Kuna vitu vingi vya kiuchumi vinavyomnufaisha mtu binafsi moja kwa moja wakati mikoa mingine inategemea wawekezaji wakubwa kukusanya mapato ya serikali tu.Kodi ya wawekezaji inaenda haxina hivyo watu wanasubiri huruma ya serikali kuiridisha kidogo ndio maana mzunguko wa fedha unakua kidogo tofauti na Njombe,sababu nyingine ni Biashara za kati kua nyingi kwa watu wanjombe,unakuta karibu asilimia 30 ya kaya zina mtu anapiga Biashara hivyo inakua Kama Diaspora anayerudisha mzukunguko wa fedha.Ndio maana mikoa ya Nyanda za Juu haitegemei mhindi kuleta biadhaa muhimu au watu wa mbali ni sisi kwa sisi.
 
Yan unavyoipamba njombe

Bado mko nyuma Sana tuseme ukweli
 
Watu wa njombe kama wanakichaa cha mbwa huwezi linganisha bukoba na njombe level ya bukoba ni iringa wao level yao ni kahama geita bunda na bariadi kwa musoma hawaingii halafu kigezo cha kukusanya mapato makubwa sio kigezo cha maendeleo kwani chalinze inamapato makubwa kuliko morogoro manispaa sasa ndio tuseme chalinze wameendelea kuliko morogoro mjini pia kahama na geita wanakusanya pesa nyingi kuliko bukoba na ilemela je wameendelea kuliko bukoba au kigamboni inakusanya pesa kidogo kuliko njombe je hio njombe inamaendeleo kuliko kigamboni
Mkuu heshima kwako umemaliza kila kitu. Bahati nzuri nimeshafika huko Njombe huwezi kulinganisha Bukoba na Njombe ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom