Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani minofu ya samaki na nafaka ukiendelea Mjini Sumbawanga 👇👇
Kwamba kagera hakuna Ardhi ama.Sasa kama familia ya watu 6 inategemea ekari moja mtaacha kuwa na GDP ndogo na umaskini uliotukuka?
Lazima wingi wenu uonekane kwenye tija ya uzalishaji sio katerero tuu![]()
![]()

si mtakufa nyote hapa bongo.Hiv huko mvua inanyeshaga kweli..
Ulifunga mjadala na nani au unataka kukimbia? 😆😆Tushafunga mjadala bukoba sio mji wa kulinganisha na mji wowote huko kusini.
Turudi kwenye mada Yetu ya kilimo
Husikimbie kijana
Kagera inaongoza uzalishaji wa vanilla nchiniView attachment 1924579
Utakuwa na matatizo sio bure.Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.
Maana uje upate gunia 12 za maharage kwenye ekari ni mziki huwezi linganisha na ekari moja ya miti au viazi mviringo.
Tafuteni kitu kingine cha maana mtaishia mkoani kila siku.
Hizi ni pics za kiangazi live sio za make up wala masika ndio maana unaona hivyo.Hiv huko mvua inanyeshaga kweli..
Vumbi kila mahali
Hata hivyo viazi mviringo.Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.
Maana uje upate gunia 12 za maharage kwenye ekari ni mziki huwezi linganisha na ekari moja ya miti au viazi mviringo.
Tafuteni kitu kingine cha maana mtaishia mkoani kila siku.


Ndani ya meli ya mv Victoria bidhaa zikitoka bukoba kwenda mikoa mbali mbali kupitia mwanza.Sasa wapi ambako hakuna under construction projects?
Sumbawanga Kiboko ya Bukoba hii hapa
View attachment 1924545
View attachment 1924546
View attachment 1924547
View attachment 1924548
View attachment 1924549
View attachment 1924551
View attachment 1924552
View attachment 1924553
View attachment 1924554
View attachment 1924555
View attachment 1924556
View attachment 1924557
View attachment 1924559

Mnaponzwa na kuzaana hovyo.Hata hivyo viazi mviringo.
Kagera ni mkoa wa sita na njombe haipo hata top ten.
Huu mkoa unaoongoza kwa kilimo utakubali tu
View attachment 1924633View attachment 1924634
Kijana Kama watoto Wana uhakika wa kula,kusoma na kuishi sehemu nzr acha wazae tu.Mnaponzwa na kuzaana hovyo.
Mkoa wa kagera unaoongoza kwa uzalishaji wa madini ya bati nchini. Na ndo mkoa pekee unaotoa madini hayo.Mnaponzwa na kuzaana hovyo.
Mambo ya barabara tuko vijijini siku hizHizi ni pics za kiangazi live sio za make up wala masika ndio maana unaona hivyo.
Na huu ni Mji mkubwa sio tiny town kama hako ka Bukoba .
Mitaani Swax
View attachment 1924605
View attachment 1924606
View attachment 1924607
View attachment 1924608
View attachment 1924609
View attachment 1924610
Umeanza utopolo,leta lami sio gravel roadsMambo ya barabara tuko vijijini siku hiz
Huko ni muleba vijijini ndani kijijini Cha itongo
Ujenzi ukiendeleaView attachment 1924695View attachment 1924696View attachment 1924697
Ndo maana nikasema ujenzi unaendelea.Umeanza utopolo,leta lami sio gravel roads
Viwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .Ndo maana nikasema ujenzi unaendelea.
Barabara za lami huko vijijini mulebaView attachment 1924737View attachment 1924738View attachment 1924739
Sie tunajenga hydroelectric power station nyie mnajenga kiwanda Cha mitiViwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771


Kiwanda Cha Sukari Cha kagera.Viwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771
Kiwanda Cha kusindika samaki vicfish bukobaViwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771
Kiwanda Cha kukoboa kahawa na kusindika kahawa amimza bukobaViwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771